Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaumiza sana tena sana!!!yaani unajiuliza na kujipa moyo lini atarudi!Point kabisa. Ndugu wa Kassim Hanga kule Zanzibar hadi kesho wanaulizia lilipo kaburi lake lakini ndio hivyo tena wanaishia kuzungushwa.
Ben Saanane ni Mmarekani?Mbona wengi ni wamarekani?? Acheni hizo
Kwahiyo hata ndugu zake anapishana nao tu bila wao kujua?Majasusi wengi wao hufanya hivyo. Hulazimika kufanya hivyo kwa usalama wao zaidi。
Kikawaida mtu ukisikia kiongozi mkubwa kama waziri mkuu ameuwawa lazima utashangaa sana. lakini kwa kupotea waziri mkuu. kama ilipotea kuku. hilo linanishangaza sana na ninaona dhahili kwamba uzembe ulitumika.Mkuu usiseme kapotea kizembe. Hii dunia ina mambo mengi ambayo mengimlne ni nadra sana kuyaona katika uwezo wa kawaida.
Na hao uliowaweka Jee wakipatikana leo ama keso utajibuje?Je Azory au Ben akipatikana kesho au siku za usoni utajibuje? Soma tena kichwa cha uzi kisha uelewe vizuri mkuu, hauitaji masters ujue nini namaanisha.