Watu 10 Waliopotea na kutoonekana tena Duniani


Mkuu inaonesha una ilmu ya hawa viumbe kwa kina kiongozi...?
 
Mkuu inaonesha una ilmu ya hawa viumbe kwa kina kiongozi...?
Najua kidogo sana kiongozi, ningekuwa najua deep ningeandaa Uzi, ila amini tupo nao mitaani na ni watu maarufu sana, tena wao ndiyo waliyoanzisha mambo ya kuvaa miwani wakidanganya miwani ya jua kumbe lengo kuficha mboni, kwa kuwa wengi huwa wanakuwa maarufu sana na hutisha sana hivo huwavutia watu wengi na kuigwa ovyo, Nani hajawahi kuvaa miwani mieusi hapa tuliopo??

Unajua source, take care.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…