macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwa Tanzania, chukulia kila dereva hasa wa magari ya abiria kuwa ni mvuta bangi na hajui sheria. Hivyo ukiwa abiria inatakiwa muwe wakali kweli kweli mnapoona anafanya ujinga hasa wa mwendo mkali.Na hapo wengi watakuwa wanaume.
Wanaume tunaisha wajameni.
RIP kwako...
Dereva mzembe sana anauwa watu kindezi sana.
Nchi ya Ulaya wakifa watu 5 katika ajali mara nyingi kama wanavyokufa ajali za Afrika ni ajenda ya kujadiliwa bungeni au ya uchaguzi mkuu kuhusu utendaji wa uongozi katika kujali maisha ya raia wake.Sio Africa tu Ajali mpaka ulaya zipo Tena nyingi zinasababishwa na ulevi
Abiria wengi ni vilaza unakuta wamepangwa kwenye gari kama maparachichi, ukilalamika wanakujibu kama unataka raha ungenunua ya kwako.Kuna wajinga hapa watakupinga. Ukweli uko sahihi kabisa. Hapa inaonyesha hiyo hiace ilikuwa kwenye mwendo mkali sana na abiria wakawa wanafurahia tu.
Fafanua.Waafrika wengi wanakufa kutokana na ujinga na upumbavu wao.
Zamani nlikuwa na tabia,wakati napiga masanga kwenye bar zileMwenyezi Mungu atusaidie kwa kweli
Umaskini mbaya sana, hiace inabeba watu 14, ambao wamefariki, na bado hapo uawezakuta kuna majeruhi kadhaa,Hi ni breaking news nimeiona pale Mwananchi kwamba watu 14 wamepoteza maisha baada ya gari la abiria dogo la aina ya Toyota Hiace kugonga lori kwa nyuma wilayani Nzega, mkoani Tabora, hii leo, Alhamisi, Novemba 7, 2024.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Richard Abwao, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
So far updates zaidi zinasubiriwa.
Source: Mwananchi
Kama hamas, Israel,palestina,urusi, Congo...Waafrika wengi wanakufa kutokana na ujinga na upumbavu wao.
Takwimu nyingi za ajali hasa Tanzania zinatokana na mwendokasi wa dereva na uzembe.Kuna wajinga hapa watakupinga. Ukweli uko sahihi kabisa. Hapa inaonyesha hiyo hiace ilikuwa kwenye mwendo mkali sana na abiria wakawa wanafurahia tu.
Kweli kabisaAbiria wengi ni vilaza unakuta wamepangwa kwenye gari kama maparachichi, ukilalamika wanakujibu kama unataka raha ungenunua ya kwako.
Umeona mkuu,yaan kifo kinakukuta popote...Zamani nlikuwa na tabia,wakati napiga masanga kwenye bar zile
Wanazoweka viti mpaka karibu na barabara ,nlikuwa nakaa
Kuna siku nlikuwa kwenye bar fulani barabara ya mwinjuma Road...ilikuwa saa tano usiku
Pona yangu nlienda toilet,
Kuna mlevi alikuwa anapita akaacha njia wee 😄 waliyokuwepo walipatapata
Ova
Kufa si kufa tu.Kama hamas, Israel,palestina,urusi, Congo...
Mi nadhani kufa ni kufa tu
Ni nyakati zenyewe hizi...hakuna wa kupona!
Nimekuelewa mkuuHalafu mijitu ikishakufa inaanza kusema ni mipango ya Mungu.