chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zaidi ya Sh. Milioni 200.
Pia washtakiwa hao, wametakiwa kulipa fidia ya Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.
Washitakiwa hao wamefanikiwa kulipa kiasi cha Sh.Milioni 200 kati ya fedha hizo.
Hukumu hiyo, imetolewa ba Hakimu Mkazi Mkuu, Kassian Matembele baada ya kupokea makubaliano baina ya washtakiwa na DPP na kukiri makosa mawili ya kutumia mitandao kilaghai na kuisababishia hasara TCRA.
Hakimu Matembele alisema Mahakama imezingatia hoja za pande zote mbili, ambapo upande wa mashtaka uliomba adhabu kali itolewe na upande wa utetezi waliomba kupunguziwa adhabu kwa sababu washtakiwa wameonesha busara ya kukiri makosa yao.
Huduma ya internet hipo sana kwenye usambazaji
TCRA kuna free frequency ambayo yapo kimataifa IEEE
Kwenye hizo redio hapo chini
Sasa kama unaenda kwa ISP (internet service provider) mfano cat net,simba net,raha dot com,ttcl na n.k wao wana kuuzia speed na inakuwa unlimiteda bando.kununua speed yani ukinunua mfano speed ya 100 mbps kimatumizi binafsi kwa mwezi itakupidi ulipe milioni 2 kwa mwezi na sio share speed hii inakuwa ni ya kwako sio gombania ubwabwa mfano speed ya 100mpbs mpewe watu 200 hapo mpaka mwengine hapunguze matumizi ndio na wewe upate au wapungue watu kwa matumizi.
Ukinunua unaona kitaa watu wanakosa huduma na wewe una sambaza mfano
Kule kwenye kampuni wanajua unatumia wewe tu kumbe na wewe unauza
Mfano umenunua speed ya 100 mbps kwa 2 milioni kila mwezi
Imekuja kwako una wateja 100 na kila mmoja una mtoza laki na nusu .
Kumbuka hizi device zinaweza kufanya kuwa base na receiver