Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

Fafanua kidogo hapa yani mm ninunue simu then tcra waje waikague na nilipe pesa ya ukaguzi how!!?
ama ndio ukusanyaji wa mapato mpya!?
11.PNG

22.PNG

33.PNG

44.PNG
 
Attachments

Safi sana Magufuli kwa kusimamia sheria vizuri
Na wewe punguza basi kusifia hata visivyohitaji kusifia. Design zenu kwa kupenda kujifanya mna mahaba mazito mnaweza hata msifia siku mkimsikia kajamba mbele za watu. Utasikia sana Magu, ushuzi mzuri sana, umetoka kisheria sana.
 
Kinaitwa VPN

No ila vpn kama kuna port ikiwa kwa ajili kazi maalumu hizi walizifunga kiusalama hata kibiashara.
IMG_2237.jpg

p2p wireless devices
Zinategemea kwa hali ya mazingira na geology zipo mpaka kuanzia kilomita 3,5,7,15 mpaka 20 na kuendelea
 
Na wewe punguza basi kusifia hata visivyohitaji kusifia. Design zenu kwa kupenda kujifanya mna mahaba mazito mnaweza hata msifia siku mkimsikia kajamba mbele za watu. Utasikia sana Magu, ushuzi mzuri sana, umetoka kisheria sana.
Magufuli hatakiwi kusifiwa?
 
Na kwa nini faini isiwe nyingi kuliko hiyo fidia
'Pia washtakiwa hao, wametakiwa kulipa fidia ya Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.'

Hio part hapo juu hukuiona mzee baba.
 
Nimeisoma mi nazungumzia hiyo faini mbona ndogo hivyo kwa hela yote hiyo
 
Yaani faini iwe kama milioni 50 hivi kwenda juu huko
Labda wanajua wenyewe basis ya Calculation zao,lkn kesi nyingi naona ni ofisi ya DPP ndio inafaidika na pesa hizo huku ofisi husika zikibaki bila bila.
 
Back
Top Bottom