Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA


Huduma ya internet hipo sana kwenye usambazaji
TCRA kuna free frequency ambayo yapo kimataifa IEEE
Kwenye hizo redio hapo chini

Sasa kama unaenda kwa ISP (internet service provider) mfano cat net,simba net,raha dot com,ttcl na n.k wao wana kuuzia speed na inakuwa unlimiteda bando.kununua speed yani ukinunua mfano speed ya 100 mbps kimatumizi binafsi kwa mwezi itakupidi ulipe milioni 2 kwa mwezi na sio share speed hii inakuwa ni ya kwako sio gombania ubwabwa mfano speed ya 100mpbs mpewe watu 200 hapo mpaka mwengine hapunguze matumizi ndio na wewe upate au wapungue watu kwa matumizi.

Ukinunua unaona kitaa watu wanakosa huduma na wewe una sambaza mfano
Kule kwenye kampuni wanajua unatumia wewe tu kumbe na wewe unauza
Mfano umenunua speed ya 100 mbps kwa 2 milioni kila mwezi

Imekuja kwako una wateja 100 na kila mmoja una mtoza laki na nusu .
Kumbuka hizi device zinaweza kufanya kuwa base na receiver
 
Sasa wawe wanaelewesha kuliko kuacha watu na maswali kibao watu wanakuwa wanadhani watu wanaonewa kumbe ni wahalifu
 
Mitano itapendeza
Outdoor nadhani inahitajika leseni
Tcra wamekuja kuwa wasumbufu sana miaka hii hadi kuagiza simu saiv wanataka ulipie ukaguzi wa hiyo simu, sijui wana shida gani hawa watu.
 
How did it happen? Ina maana wana mitambo ya kutengeneza internet kama wapika gongo wanavyotengeneza Konyagi bandia?
Halafu Raha.Com walienda wapi?

No
Kuna watu wana vibali kuwa ISP kusambaza huduma ila mfano wewe unaweza kumudu garama mfano kwa maitaji yako binafsi kumbe na wewe unaenda kuwauzia na bila kuwa na vibari
 
Hii taarifa haijakamilika.kajipange uje na taarifa kamili....
 
Unanunua internet Voda au Tigo kisha unanunua vifaa vya kurusha wifi kwa watu ndio usambaziji wenyewe.
Mmmh mkuu ya kwel hayo, kwa mfano mm Nina ofisi yangu nikanunua vifurushi vyangu kutoka makampuni husika kisha , nikaweka access point (WI-FI) ikasambaa eneo lote na watu kuaccess kutoka kwangu ndio inakua hivyo au kua utofauti ?

Au hao jamaa walikua wananunua vifurushi kutoka makamuni husika na wakawa wanauza vifurushi kwa watu wengine bila kibali kutoka tcra ?
 

Hapana una nunua direct ISP kisha una sambaza kutumia hivi vifaa
 
Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.
Miss Zomboko hapo kwenye tarakimu za kuhusu milioni ulizoweka kwa mafungu sijakuelewa ,mwalimu aliye kufundisha bila shaka ni wa kuchunguzwa ,hatuweki nukta kwenye tarakimu la sivyo iwe kwenye senti unatakiwa uandike hivi TZS 267,656,794.30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…