Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

Hii ina utata

Kulingana na muktadha wa habari hii kuna mtu anauliza kama yeye anawauzia maji ya DAWASA majirani zake je anakiuka sheria? Maana yeye analipa bili DAWASA.

Mtu mwingine anajibu, tatizo ni kuwa na kibali (yaani Leseni ya biashara). Hata kuuza maji ya DAWASA kwa majirani unahitajika kuwa na Leseni!

Ki ufupi kukiuka sheria kwa kuwa hujui sheria hakukufanyi ukwepe mkono wa sheria. Ila elimu inahitajika sana kwa wananchi, hizi mamlaka zitoe elimu kwa umma
 

Unapo omba plate namba ya gari unaomba ya matumizi binafsi au ya biashara
 
Outdoor nadhani inahitajika leseni
Tcra wamekuja kuwa wasumbufu sana miaka hii hadi kuagiza simu saiv wanataka ulipie ukaguzi wa hiyo simu, sijui wana shida gani hawa watu.
Hujui
 
Fafanua kidogo hapa yani mm ninunue simu then tcra waje waikague na nilipe pesa ya ukaguzi how!!?
ama ndio ukusanyaji wa mapato mpya!?
Hawajui walisemalo, nitaeleza inavyokuwa
 
Wengi kumbe hamuijui
 
Inshort ni kutumia VPN ambapo una install program kwenye cm yko afu unapewa code unatumia internet bure bila TCRA kujua na kuingiza chochote mostly inafanyika kwa voda na huruhusiwi kuunga bundle la internet lolote katika iko kipindi
 
Inshort ni kutumia VPN ambapo una install program kwenye cm yko afu unapewa code unatumia internet bure bila TCRA kujua na kuingiza chochote mostly inafanyika kwa voda na huruhusiwi kuunga bundle la internet lolote katika iko kipindi

Na kurekebisha kidogo VPN ina weza kuwa njia isiyo rasmi yani kama kukuta umeme ukaiba .ISP(internt service provider ) hana kuwa DNS zinazo mpa kusambaza huduma kwa sheria ya nchi yani kama tanzania basi unapata huduma bila kupata tatizo ikitambulisha hiyo huduma.kwa kuwa kila huduma inapewa proxy port ambazo zinalinda huduma mfano ukitumia app zilizo na vibari hata internet ukifungiwa mfano facebook wakisema bure basi port ya hiyo hipo free.sasa port ya vpn zilipewa kimataifa ila zilitumika vibaya yani una moderm ya tigo ina bando ina unganisha alafu unapitia port ya vpn unatumia safari com ya kenya ina kuruhu na wewe hiyo huduma una
 
wewe fala kwanza uwelewe hawajaiba na ss ni waelewa sana, iko hivi wamenunua bando mfano kutoka voda baadae wakalirusha kwa watumiaji wengine bila kibali sasa jiulize serikali wanapata hasara vipi wakati bando lile nishapata uhalali kutoka kwa voda? magufuli mitano teno
 
Pesa wanazo!
 
Hivi tcra inapata hasara au inakosa mapato? Nataka kujua kama chombo hiki ni taasisi ya kibiashara yenye kupata faida au hasara au ya serikali inayokusanya au kukosa mapato?
 
Sio hivyo
Voda na tigo nimetoa mfano na unaposema sijui unalenga kipi haswa.

Mitandao yote hiyo wanauza data kwa wateja wa kawaida na wakubwa, kupitia dedicated lines.

Halotel
Ttcl
Vodacom
Tigo
Na makampuni mengine wanazo hizo huduma.

Leo nikitaka kuanza kutoa huduma za wifi, kwa eneo la morogoro mjini nikiwa na vibali vyote, data connectivity aidha kwa fiber, vsat au wimax nitapata kutoka kwa hao jamaa, from there ndio top brands kama ubiquiti (wireless network equipmemts) kazi zao zinaanza.

Haya niambie ndugu mutanzania ni kipi nisichojua hapo, muda mwingine tunaandika kwa ufupi ili kila mtu aelewe.
 
Wewe ulitaka mahakama ifanye nini? Iwafunge bila kulipa walichoiba au walipe wasifungwe.. hapo nashindwa kukuelewa ukisema wanadhulumiwa...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nadhani alitaka mahakama itoe hukumu ya haki bila kuingiliwa kisha kama ni faini au kifungo vitatolewa kwa mujibu wa sheria za mahakama.
Ila hayo makubaliano haina tofauti na mtu aibe halafu muyamalize kinyumbani, lazima mmoja ataumia tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…