Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

Wajaalana mayahudi wakiimba ' tunapenda kuwabaka na kuwaua wapalestina karibu na msikiti mkubwa kabisa wa heshima' hawa ndio wayahudi Mazayuni yaliyotuaminisha Hitler ni mbaya
Ndiyo maana kila mara huwa nasema ninyi ni waongo kupita hata Shetani!! Pamoja na kwamba mnaupaka rangi uongo wenu uonekane kama ni mzuri kwa kuuita Taqiyyah uongo ni uongo tu hata kama mtauita jina zuri!!

Chunguza vizuri Chanzo cha video yako hiyo hao wako kwenye tukio la kidini na aslani hawawezi kuimba ujinga huo ujinga huo wanao waislamu tu kuhamasisha mauaji kwenye nyumba za Ibada kwa Wayahudi hairuhusiwi kabisa.
Video hiyo umeweka Narrative za chuki tu dhidi ya Wayahudi maneno wanayochant si hayo uliyoyaandika hapo. Acheni ujinga!!
 
Sijawahi kuona vita ya namna hiyo toka dunia iumbwe:
Vita inapigwana upande mmoja tu:
Hao Hamas wako wapi ?
Kuna uhakika gani kama Mateka wako hai ? Wamefichwa wapi ?

Mji umebomolewa wote na kugeuzwa kifusi, hii ni vita au kuna ajenda nyingine?
Ki mtazamo mpana kinachoendelea Gaza ni Uhalifu wa Kivita usio zingatia sheria za vita na haki ya binadamu wengine kuishi:
Lakini mkuu yale makombora yaliyorushwa na Hamas October 7 lengo si lilikua kuigeuza Israel kifusi? Au mimi ndio sijaelewa?
 
Ndiyo maana kila mara huwa nasema ninyi ni waongo kupita hata Shetani!! Pamoja na kwamba mnaupaka rangi uongo wenu uonekane kama ni mzuri kwa kuuita Taqiyyah uongo ni uongo tu hata kama mtauita jina zuri!!

Chunguza vizuri Chanzo cha video yako hiyo hao wako kwenye tukio la kidini na aslani hawawezi kuimba ujinga huo ujinga huo wanao waislamu tu kuhamasisha mauaji kwenye nyumba za Ibada kwa Wayahudi hairuhusiwi kabisa.
Video hiyo umeweka Narrative za chuki tu dhidi ya Wayahudi maneno wanayochant si hayo uliyoyaandika hapo. Acheni ujinga!!
Imekuuma eeeh, kataa na haya maneno yako kwa kiingereza kila mtu atasikia
 
Attachments

  • VID_20250526_100032_873.mp4
    1.5 MB
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto.

Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa Hamas na Islamic Jihad kilichokuwa ndani ya shule hiyo, likisisitiza kuwa walichukua tahadhari kupunguza madhara kwa raia.

Shambulio hili linakuja wakati mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameongezeka, huku msaada wa kibinadamu ukiwa bado ni mdogo sana licha ya kuanza tena kutolewa baada ya karibu miezi mitatu ya kuzuiwa.

Viongozi wa dunia waliokutana Madrid mwishoni mwa wiki wametaka vita hivyo vikomeshwe, wakivitaja kuwa "visivyo vya kibinadamu" na "visivyo na maana".

Wakati huo huo, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema anataka kuona uwezekano wa kumaliza mapigano hayo haraka iwezekanavyo.

=======================================

Rescuers said an Israeli strike on Monday killed at least 20 people at a Gaza school sheltering displaced people, as Israel steps up what it calls an offensive to destroy Hamas.

The intensified violence, after a nearly three-month blockade of humanitarian supplies into the Gaza Strip, has sharpened international condemnation of Israel.World leaders meeting in Madrid at the weekend called for an end to the "inhumane" and "senseless" war, while humanitarian organisations said the trickle of resumed aid is not nearly enough to staunch the hunger and health crises.

In Gaza City, civil defence agency spokesman Mahmud Bassal said that "at least 20 martyrs" were transported to hospital, most of them children, and 60 people were wounded in the "horrific occupation massacre at the Fahmi al-Jarjawi school" at dawn, where hundreds of people were sheltering, referring to Israel.

The Israeli military said it had "struck key terrorists who were operating within a Hamas and Islamic Jihad command and control center embedded in an area that previously served as the 'Faami Aljerjawi' School in the Gaza City area", adding that "numerous steps were taken to mitigate the risk of harming civilians".

Source: The Hindustan Times

​

TAJA IDADI YA WATOTO WALIOUWAWA KATIKA HIO SHULE WEWE NYOKA WA ISRAEL..
HIVI HUTAFUTAGI SOURCE NYINGINE YA HABARI TOFAUTI NA ZINAZOANDIKWA NA MASHIRIKA YA AIPAC?? ZINAZOFICHA UKWELI WA MATUKIO
.MAANA ISRAEL HAWARUHUSU INTERNATIONAL PRESS KATIKA ARDHI YA GAZA
SASA WEWE TAARIFA ZAKO NYINGI NAONA GAZA GAZA GAZA GAZA NA UKIONGEA UNAJUA HAMAS NI GAIDI IDF SIO MAGAIDI INAONEKANA UMEAMUA KULISHWA MAJARIDA YA AIPAC HUFIKIRI HATA KWAAKILI YAKO MWENYEWE
 
Lakini mkuu yale makombora yaliyorushwa na Hamas October 7 lengo si lilikua kuigeuza Israel kifusi? Au mimi ndio sijaelewa?
KAMA UMESIKIA ENEO LINAITWA WEST BANK NI ENEO LA HAKI LA KIPALESTINE KABLA YA OCT 7 WAKAZI WAPALESTINE WATOTO WAMAMA NA WABABA(FAMILIA)14,000 ZILIFUKUZWA KATIKA NYUMBA ZAO ILI FAMILIA ZA ISRAEL ZIPATE MALAZI
NAOMBA NIULIZE FAMILIA ZA ISRAEL ZINAHAKI YA MAKAZI KATIKA ENEO LA PALESTINE JIBU NI HAPANA
NISABABU KATI YA MOJA WAPO ORGANIZATION YA H@MAS KUWEPO PALESTINE NAKUFANYA RETALIATION KWA MATENDO HAYO
PALESTANIANS WAMAMA NA WATOTO WAMESHAOMBA SANA ISRAEL WAONDOE MAJESHI YAO WEST BANK TOKEA 2007
 
Imekuuma eeeh, kataa na haya maneno yako kwa kiingereza kila mtu atasikia
Watu ninyi ni watu wa ajabu sana mnapenda upotoshaji sana video yenyewe ni fupi maelezo yenyewe sijui yanatolewa na muandamanaji au mtu ambaye haijaelezwa alikuwa wapi!!

Pamoja na yote hayo kwa ujinga wenu ndiyo Mnasema sasa hiyo ndiyo Tamko la Serikali ya Israel? Au siku hizi msemaji wa Serikali ya Israel ni huyo Binti ??

Sijakusikia hata siku moja wewe ukikemea kauli zinazotolewa huko Gaza na nchi zingine za Wafuga Midevu na Majini maana hawaishi kupayuka “ Death to America Death to Israel and Death to Infidels” Maneno hayo kwako wewe ni sawa kabisa lakini Binti huyo alivyosema wewe tayari umechachawa umeshindwa hata kukaa kwenye kiti vizuri utafikiri Ramaphosa anahojiwa na Trump!!!!! Tumieni akili zenu vizuri kufikiri!!!
 
TAJA IDADI YA WATOTO WALIOUWAWA KATIKA HIO SHULE WEWE NYOKA WA ISRAEL..
HIVI HUTAFUTAGI SOURCE NYINGINE YA HABARI TOFAUTI NA ZINAZOANDIKWA NA MASHIRIKA YA AIPAC?? ZINAZOFICHA UKWELI WA MATUKIO
.MAANA ISRAEL HAWARUHUSU INTERNATIONAL PRESS KATIKA ARDHI YA GAZA
SASA WEWE TAARIFA ZAKO NYINGI NAONA GAZA GAZA GAZA GAZA NA UKIONGEA UNAJUA HAMAS NI GAIDI IDF SIO MAGAIDI INAONEKANA UMEAMUA KULISHWA MAJARIDA YA AIPAC HUFIKIRI HATA KWAAKILI YAKO MWENYEWE
Tumia akili zako vizuri ndugu!!!
 
KAMA UMESIKIA ENEO LINAITWA WEST BANK NI ENEO LA HAKI LA KIPALESTINE KABLA YA OCT 7 WAKAZI WAPALESTINE WATOTO WAMAMA NA WABABA(FAMILIA)14,000 ZILIFUKUZWA KATIKA NYUMBA ZAO ILI FAMILIA ZA ISRAEL ZIPATE MALAZI
NAOMBA NIULIZE FAMILIA ZA ISRAEL ZINAHAKI YA MAKAZI KATIKA ENEO LA PALESTINE JIBU NI HAPANA
NISABABU KATI YA MOJA WAPO ORGANIZATION YA H@MAS KUWEPO PALESTINE NAKUFANYA RETALIATION KWA MATENDO HAYO
PALESTANIANS WAMAMA NA WATOTO WAMESHAOMBA SANA ISRAEL WAONDOE MAJESHI YAO WEST BANK TOKEA 2007
Tumia akili zako vizuri wewe!!
 
Watu ninyi ni watu wa ajabu sana mnapenda upotoshaji sana video yenyewe ni fupi maelezo yenyewe sijui yanatolewa na muandamanaji au mtu ambaye haijaelezwa alikuwa wapi!!

Pamoja na yote hayo kwa ujinga wenu ndiyo Mnasema sasa hiyo ndiyo Tamko la Serikali ya Israel? Au siku hizi msemaji wa Serikali ya Israel ni huyo Binti ??

Sijakusikia hata siku moja wewe ukikemea kauli zinazotolewa huko Gaza na nchi zingine za Wafuga Midevu na Majini maana hawaishi kupayuka “ Death to America Death to Israel and Death to Infidels” Maneno hayo kwako wewe ni sawa kabisa lakini Binti huyo alivyosema wewe tayari umechachawa umeshindwa hata kukaa kwenye kiti vizuri utafikiri Ramaphosa anahojiwa na Trump!!!!! Tumieni akili zenu vizuri kufikiri!!!
KUNA JESHI LA PALESTINE LILOSHIKA ARDHI YA ISRAEL NA NI MWAKA GANI?
NA KUNA JESHI LA ISRAEL LILOSHIKA ENEO LA PALESTINE TOKEA MWAKA GANI?
 
Hao Hammas mbona hawaishagi?Nia ya kweli ya Israel ni kuwaangamiza Wapalestina.
Kuna Palestine alioachiwa ni mwanajeshi wa IDF ingia BBC whatsapp sio ya kiswahili kama umeifollow utaona hio news anasema alichokuwa anahofia kipindi ametekwa Gaza ni Mabomb ya Israel ambayo yanapiga eneo bila Kuona hao wanaoitwa magaidi wa H@mas
 
Maswali ya kijinga na kipumbavu kabisa!!
🤮hunaga majibu sindio
basi atleast niambie kwanini majeshi ya israel yako west bank tokea 2007 na kwanini familia za israel 14000 zimefukuzwa manyumbani kwao walipokuwepo mababu zao kwaajili ya Familia Za Israel?
 
Tatizo lako wewe ni mjinga na hujui lini Israel iliondoka Gaza na West-Bank lini na kwa sababu gani!!!
 
WE NI MBWAA ISRAEL IMEONDOKA LINI WEST BANK NYOKAA WEWE HUJUI CHOCHOTE YANI UNANIFANYAA NITAMANI NIKUPIGE KIBAO KWA USHENZI UNAONGEAA KASOME HISTORY AU HUJUI KINGEREZA
 
Tatizo lako wewe ni mjinga na hujui lini Israel iliondoka Gaza na West-Bank lini na kwa sababu gani!!!
TATIZO LAKO HUJUI KINGEREZA NDIO SABABU HISTORIA YA PALESTINE-ISRAEL CONFLICT HUELEWI

MWENYE CHATGPT AANDIKE WHAT LEAD TO OCT 7 H@MAS ATTACK...

AKIRUDI APAA ANASIKILIZA UJINGA WAKO PILA KUTAMANI KUKUTUKANA BASI HAJATUMIA 30MIN KUSOMA HISTORIA YA ISRAEL-PALESTINE CONFLICT
 
Lakini mkuu yale makombora yaliyorushwa na Hamas October 7 lengo si lilikua kuigeuza Israel kifusi? Au mimi ndio sijaelewa?
Kote kuwili hakuko sahihi:
Hamas hawakuwa sahihi kushambulia raia wa Israeli:

Pia Israeli hawapo sahihi namna wanavyo ibomoa Gaza:
Mwenye moyo wa Huruma lazima atasikitika kwa kinachoendelea Gaza:
 
Back
Top Bottom