Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

Watu 20 wafariki Gaza baada ya Jeshi la Israel kushambulia shule ya Fahmi al-Jarjawi

Tatizo lako wewe ni mjinga na hujui lini Israel iliondoka Gaza na West-Bank lini na kwa sababu gani!!!
PALESTINE INAGUNDULIKA NA NCHI 147 KATI YA NCHI 193 ZILIZOPO U.N KWASABABU HIZO NCHI 46 ZINAUHUSIANO WAKARIBU NA ISRAEL

UNAJUA ISRAEL ILIWAHI KULIPUWA MILLITARY SHIP YA USA NA WALIUWA NA KUDHURU WATU WAKIDHANI NI SHIP YA EGYPT NA USA HAWAKUONGEA CHOCHOTE JUU YAO KWASABABU YA (AIPAC)

TURUDI MWANZO KATIKA ENEO LA PALESTINE KUNASEHEMU KUU 3 GAZA STRIP,WEST-BANK, NA EAST JERUSALEM ...

WANAJESHI WA ISRAEL WAMESHIKILIA WEST BANK KUWANYIMA HAKI WAPALESTINE HATA ZAKUTEMBEA MAENEO MENGINE KABLA YA HAMAS KUFANYA RETALIATION OCT 7

SOMA HISTORIA
 
Kote kuwili hakuko sahihi:
Hamas hawakuwa sahihi kushambulia raia wa Israeli:

Pia Israeli hawapo sahihi namna wanavyo ibomoa Gaza:
Mwenye moyo wa Huruma lazima atasikitika kwa kinachoendelea Gaza:
ISRAEL NDIO SABABU YA H@MAS KUWEPO HAPA DUNIANI KWA JINSI WALIVYOWANYANYASA WA PALESTINE KWENYE ARDHI YAO WENYEWE TOKA KABLA YA OCT 7 LAKINI SASA HIVI H@MAS KUPIGANIA HAKI ZA WATU WAKE ANAONEKANA YEYE NI GAIDI SABABU MATENDO YA ISRAEL WALIOKUWA WANAWAFANYIA SISI HATUKUSIKIA SABABU MEDIA NYINGI ZINAMILIKIWA NA JEWISH SASA TUNAAMBIWA H@MAS NDIO WABAYA KISA HISTORIA HATUTAKI KUISIKIA
 
Sijawahi kuona vita ya namna hiyo toka dunia iumbwe:
Vita inapigwana upande mmoja tu:
Hao Hamas wako wapi ?
Kuna uhakika gani kama Mateka wako hai ? Wamefichwa wapi ?

Mji umebomolewa wote na kugeuzwa kifusi, hii ni vita au kuna ajenda nyingine?
Ki mtazamo mpana kinachoendelea Gaza ni Uhalifu wa Kivita usio zingatia sheria za vita na haki ya binadamu wengine kuishi:
Israel hawana muda na mateka
 
Unataka dunia ifanye nini wakati Magaidi hao ndiyo walioivamia Israel na mpaka sasa wanashikilia mateka wa Israe!? Acha wapigwe tu maana hakuna namna nyingine!!
Naunga mkono hoja. Magaidi wamshughulikiwe bila huruma
 
WE NI MBWAA ISRAEL IMEONDOKA LINI WEST BANK NYOKAA WEWE HUJUI CHOCHOTE YANI UNANIFANYAA NITAMANI NIKUPIGE KIBAO KWA USHENZI UNAONGEAA KASOME HISTORY AU HUJUI KINGEREZA
Nilikuwa sitaki kukujibu lakini imenilazimu tu nikujibu:
Mnamo 2005, Israeli iliachia Ukanda wa Gaza na kuvunja makazi yote 21 ya Waisraeli huko. Kama sehemu ya mchakato huo, makazi manne ya Waisraeli katika Ukingo wa Magharibi yalivunjwa pia. Kutenguliwa kumetekelezwa kwa upande mmoja: Mamlaka za Israel kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina (PNA) kuwezesha uhamishaji kwa utaratibu wa mamlaka ya kiutawala kufuatia kujiondoa kwa Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) kutoka Ukanda wa Gaza.

Kwa maana hiyo Majeshi ya Israel hayakuwepo Gaza au West-Bank kabla mashambulizi ya kutisha ya Hamas hapo Oct 07,2023.
 
TATIZO LAKO HUJUI KINGEREZA NDIO SABABU HISTORIA YA PALESTINE-ISRAEL CONFLICT HUELEWI

MWENYE CHATGPT AANDIKE WHAT LEAD TO OCT 7 H@MAS ATTACK...

AKIRUDI APAA ANASIKILIZA UJINGA WAKO PILA KUTAMANI KUKUTUKANA BASI HAJATUMIA 30MIN KUSOMA HISTORIA YA ISRAEL-PALESTINE CONFLICT
Binafsi kiingereza hakinisaidii kitu nikijue/Nisikijue kwangu haina maana yoyote!!!!
 
PALESTINE INAGUNDULIKA NA NCHI 147 KATI YA NCHI 193 ZILIZOPO U.N KWASABABU HIZO NCHI 46 ZINAUHUSIANO WAKARIBU NA ISRAEL

UNAJUA ISRAEL ILIWAHI KULIPUWA MILLITARY SHIP YA USA NA WALIUWA NA KUDHURU WATU WAKIDHANI NI SHIP YA EGYPT NA USA HAWAKUONGEA CHOCHOTE JUU YAO KWASABABU YA (AIPAC)

TURUDI MWANZO KATIKA ENEO LA PALESTINE KUNASEHEMU KUU 3 GAZA STRIP,WEST-BANK, NA EAST JERUSALEM ...

WANAJESHI WA ISRAEL WAMESHIKILIA WEST BANK KUWANYIMA HAKI WAPALESTINE HATA ZAKUTEMBEA MAENEO MENGINE KABLA YA HAMAS KUFANYA RETALIATION OCT 7

SOMA HISTORIA
Nina wasiwasi wewe ni Mlevi umelewa mchana!!!
 
Watu ninyi ni watu wa ajabu sana mnapenda upotoshaji sana video yenyewe ni fupi maelezo yenyewe sijui yanatolewa na muandamanaji au mtu ambaye haijaelezwa alikuwa wapi!!

Pamoja na yote hayo kwa ujinga wenu ndiyo Mnasema sasa hiyo ndiyo Tamko la Serikali ya Israel? Au siku hizi msemaji wa Serikali ya Israel ni huyo Binti ??

Sijakusikia hata siku moja wewe ukikemea kauli zinazotolewa huko Gaza na nchi zingine za Wafuga Midevu na Majini maana hawaishi kupayuka “ Death to America Death to Israel and Death to Infidels” Maneno hayo kwako wewe ni sawa kabisa lakini Binti huyo alivyosema wewe tayari umechachawa umeshindwa hata kukaa kwenye kiti vizuri utafikiri Ramaphosa anahojiwa na Trump!!!!! Tumieni akili zenu vizuri kufikiri!!!
Huwezi kutofautisha mzayuni na serikali yake huyo ni activist akihojiwa wengi tu wengine ni retired officers wamekua na mentality za kiuaji na hawafichi wanazitoa wazi myahudi sasa anatetewa na wehu tu mashahidi wa yehova ila dunia ya wastaarabu kila nchi anamkataa propaganda zilisha feli
 
Amechomwa binti mdogo kaungua mpaka kufa picha inatisha, hivi nyinyi mnazani hamasi mtawapata kila sehem? Mnaintelligence ndogo sana mtaishi mkiranda randa ili akamilishe nia yenu ovyo ya kuua watoto lakini Mungu ni mwema bado vita itapiganwa kwa karne nyingi tu
Hapana ndugu hao Israel wanawauwa hao watoto kwa makusudi afu wanaleta excuse kwamba walikuwa wanawapiga Hamas. Sa ajabu hatuoni hata bunduki au Missiles sehemu walizo piga tena sehemu zingine unaona kabisa sufuria na sahani lakini huoni bunduki au Missiles, au hao Hamas wanao watarget huwa hawana silaha wanatembea na masufiria ya wali tu. Vichaa tu kama huyu kenge mtoa mada ndio anawamini hao waisrael.
 
Angalau watu 20 wameuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Fahmi al-Jarjawi mjini Gaza, ambapo wakimbizi wa ndani walikuwa wakijihifadhi, kwa mujibu wa waokoaji. Zaidi ya watu 60 walijeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto.

Jeshi la Israel limesema lililenga kituo cha uongozi wa Hamas na Islamic Jihad kilichokuwa ndani ya shule hiyo, likisisitiza kuwa walichukua tahadhari kupunguza madhara kwa raia.

Shambulio hili linakuja wakati mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yameongezeka, huku msaada wa kibinadamu ukiwa bado ni mdogo sana licha ya kuanza tena kutolewa baada ya karibu miezi mitatu ya kuzuiwa.

Viongozi wa dunia waliokutana Madrid mwishoni mwa wiki wametaka vita hivyo vikomeshwe, wakivitaja kuwa "visivyo vya kibinadamu" na "visivyo na maana".

Wakati huo huo, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema anataka kuona uwezekano wa kumaliza mapigano hayo haraka iwezekanavyo.

=======================================

Rescuers said an Israeli strike on Monday killed at least 20 people at a Gaza school sheltering displaced people, as Israel steps up what it calls an offensive to destroy Hamas.

The intensified violence, after a nearly three-month blockade of humanitarian supplies into the Gaza Strip, has sharpened international condemnation of Israel.World leaders meeting in Madrid at the weekend called for an end to the "inhumane" and "senseless" war, while humanitarian organisations said the trickle of resumed aid is not nearly enough to staunch the hunger and health crises.

In Gaza City, civil defence agency spokesman Mahmud Bassal said that "at least 20 martyrs" were transported to hospital, most of them children, and 60 people were wounded in the "horrific occupation massacre at the Fahmi al-Jarjawi school" at dawn, where hundreds of people were sheltering, referring to Israel.

The Israeli military said it had "struck key terrorists who were operating within a Hamas and Islamic Jihad command and control center embedded in an area that previously served as the 'Faami Aljerjawi' School in the Gaza City area", adding that "numerous steps were taken to mitigate the risk of harming civilians".

Source: The Hindustan Times

​

Netanyahu alisema maneno haya," vita hii itakuwa ngumu, inaweza kuchukua muda mrefu, itakuwa na madhara makubwa,lakini vita hii siku ili ikimalizika,tutakuwa na mashariki ya kati mpya "
Maneno hayo yaliashiria yanayofanyika leo na matokeo yake.
Waziri wa ulinzi wa Israel akasema "tutamia kila aina ya silaha tuliyonayo ili kulemaza Hamas.
Sasa hapo nadhani silaha ambayo wanaitumia sasa ya chakula dhidi ya Hamas ni moja kati ya zile zilizotajwa
 
Ardhi, nahawataichukua
Mkuu toka Waisrael feki walipo anza “kurudi” hakuna wakati ambao Wapalestina wamefanikiwa kuwazuia

Kila mara yanapotokea mapigano ndio hapo ambapo wapalestina wanazidi kupoteza aridhi

Sioni kwa sasa wana maajabu gani
 
Huwezi kutofautisha mzayuni na serikali yake huyo ni activist akihojiwa wengi tu wengine ni retired officers wamekua na mentality za kiuaji na hawafichi wanazitoa wazi myahudi sasa anatetewa na wehu tu mashahidi wa yehova ila dunia ya wastaarabu kila nchi anamkataa propaganda zilisha feli
Death to America, Death to Israel na Death to all Infidel kwako ni Alhamdulillah na kwa kuwa huyo Binti kasema ni Myahudi imekuwa nongwa?

Acheni ujinga haki hapo iko wapi? Au kunya anye Mwarabu akinya Myahudi Mnasema kaharisha!!! Acheni ujinga!!
 
Netanyahu alisema maneno haya," vita hii itakuwa ngumu, inaweza kuchukua muda mrefu, itakuwa na madhara makubwa,lakini vita hii siku ili ikimalizika,tutakuwa na mashariki ya kati mpya "
Maneno hayo yaliashiria yanayofanyika leo na matokeo yake.
Waziri wa ulinzi wa Israel akasema "tutamia kila aina ya silaha tuliyonayo ili kulemaza Hamas.
Sasa hapo nadhani silaha ambayo wanaitumia sasa ya chakula dhidi ya Hamas ni moja kati ya zile zilizotajwa
Kama mnalijua hilo basi kaeni kwa kutulia sasa muache kulialia!!
 
Hapana ndugu hao Israel wanawauwa hao watoto kwa makusudi afu wanaleta excuse kwamba walikuwa wanawapiga Hamas. Sa ajabu hatuoni hata bunduki au Missiles sehemu walizo piga tena sehemu zingine unaona kabisa sufuria na sahani lakini huoni bunduki au Missiles, au hao Hamas wanao watarget huwa hawana silaha wanatembea na masufiria ya wali tu. Vichaa tu kama huyu kenge mtoa mada ndio anawamini hao waisrael.
Safari mtanyooka tu!!!
 
Kama hawaja waachilia zile maiti za kitanzania baada ya kuwaua bila sababu............NETANYAHU PONDA KAMA VISODA MPAKA WAISHE KABISA........
 
Safari mtanyooka tu!!!
We shoga mkisha chukua Gaza hapo ndio uongee na kuisifu Israel leo miaka miwili karibu ana fanya genocide na kutumia silaha za kila aina kashindwa kuicontrol Gaza hilo ni jeshi au chipukizi hao wa shule za msingi hahaha. Hata wale wauza chips mishikaki kule kiomboi wanaweza vita sio hao mashoga wanadhani kuvunja majumba na kufanya genocide ndio watashinda vita.

Siku Hamas akipewe silaha robo ya hizo ungenda mtafuta Shetanyahu huko Poland kwa bibi zake
 
Kiomboi imefuata nini tena mkuu.......... una utani na Wanyiramba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom