Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

LATRA mnaonekana hamko kazin kabisa inawezekana hao abiria wasijulikane wakati Basi likoanzia Safari conda huwa anatakiwa orodha ya majina abiria anaosafirisha( man fast ya abiria wanasafiri kwa siku husika iweje wasijulikane? INA maana utaratibu haupo tena.

Tuliowapa majukumu haya kazi imewashinda mtoke ofisi mmeshindwa kuteleza majukum yenu mnayoyasimamia ni kitu kushangaza abiria wasitambulike wakati walikata ticket.
 
RALTA, mnaonekana hamko kazin kabisa inawezekana hao abiria wasijulikane wakati Basi likoanzia Safari conda huwa anatakiwa orodha ya majina abiria anaosafirisha( man fast ya abiria wanasafiri kwa siku husika iweje wasijulikane ? Inamaana utaratibu haupo tena.

Tuliowapa majukumu haya kazi imewashimda mtoke ofisi mmeshindwa kuteleza majukum yenu mnayoyasimamia ni kitu kushangaza abiria wasitambulike wakati walikata ticket.
inashangaza
 
Huu ni uzembe uliokithiri.
Haiwezekani watu wasijulikane wakati wamekata tiketi na kila abiria alikuwa kwenye siti yake.
Kuna jambo linafichwa ukiona hivyo.
 
Vichwa hivyo madereva na konda wanakula njiani
 
Na Cha kushangaza Zaid hao waliokuwa abiria wa 5 ambao kwa Sasa ni marehemu walikatiwa ticket ya Basi mtandao na walipata sms kwenye sim Leo hii nanambiwa hajatambuliwa hata majina yao wanatiwa ndugu zao gizani styeam inawaona wahamiaji haramu hawez tambuliwa sever ya ticket matandao zitumiwa na mabasi yandayo mikoan Kama alfa
 
Nkanini labda nimeshindwa kukuelewa mtoa mada, utambuzi ni kazi ya police sio hao uliowataja, why kitengo cha police cha foresinc wasichukue DNA za miili hiyo na ku I run kwenye systems ya nchi ili kuwatambua marehemu hao?au ndio yale yale!,unaenda kuomba passport wanakuambia uje na documents rundo wakati ilitakiwa uwe na ID book basi
 
Kama umewahi safiri Kuna ticket matandao za mabasi hiyo iko control ratra abiria waliosafiri na bas liliopata ajali walikuwa ticket matandao tracking ifanyika siku ilifanya Safari kutoka mwanza kwenda waliosafiri siku wote wataonekana kwenye mtandao huo ticket matandao majina investigation kwa vyombo viopewa mamlaka kwa utambuzi na sio kusema hajambuliwa na ndugu matumizi ya tehama kwetu hayatumiki vizuri kusaidia wahanga Kama marehemu
 
Back
Top Bottom