digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Acha ujinga wewe,kuna utaratibu wa uokozi,kupiga picha sio dhambikinachosikitisha baada ya kusaidia kuokoa watu wako bize kupiga picha. very sad!
ona uyo mwenye mjinzi wake wa mlegezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe,kuna utaratibu wa uokozi,kupiga picha sio dhambikinachosikitisha baada ya kusaidia kuokoa watu wako bize kupiga picha. very sad!
ona uyo mwenye mjinzi wake wa mlegezo.
Za kwako wewe ni zipi?We jamaa taarifa zako ni ajali tu.
Wapimwe akili kabisaMadereva wengi sshvi ni vichaaa
Ova
Utasikia:Ajari❌️
Ajali✅️
Bado tuna jukumu la kuandika kwa ufasaha(japo ni kweli kwamba tumeelewa ulichoandika)
Pole kwa wahanga.
Inaonyesha ni overtake ya kizembe.Konakona nyingi hapo, kama alikuwa anapita na 120 kwenye kona, hilo halishindikani
Vichaaa wengi sana wanatumia vyombo vya moto,na siku wakiwapimaWapimwe akili kabisa
Mkuu wa Wilaya ya Nzega anamwakilishaje Mkuu wa Mkoa wa Tabora huko Sikonge ambako siyo wilaya ya Nzega?Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
View attachment 2788128
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo imehusisha basi la Alpha linalofanya safari zake kati Shinyanga na Dar es Salaam na kwamba wakati wa ajali, lilikuwa likitokea Shinyanga.
"Nimepata taarifa hiyo na sasa ndio naelekea eneo la tukio na taarifa kamili nitaitoa baada ya kufika na kujua hali ilivyo," amesema.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai amesema amepata taarifa ya ajali hiyo akiwa wilayani Sikonge katika maadhimisho ya miaka 100 ya Hospitali ya Misheni
inayomilikiwa na Kanisa la Moravian, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian.
Amesema baada ya baada ya kupata taarifa hiyo ameelekea kwenye eneo la tukio.
Hii ni ajali kubwa kuua idadi kubwa ya watu katika Mkoa wa Tabora kwa mwaka huu.
Mwananchi
Nzega na sikonge zote zipo mkoa wa TaboraMkuu wa Wilaya ya Nzega anamwakilishaje Mkuu wa Mkoa wa Tabora huko Sikonge ambako siyo wilaya ya Nzega?
Hizo ni wilaya tofauti. Mkuu wa wilaya ya Nzega hahusiki na Sikonge ambayo ina mkuu wa wilaya mwingine. Ni sawa na kusema Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akamwakilishe Mkuu wa Mkoa wa Dar katika shughuli inayofanyika Temeke Yombo, eti kwa kuwa tu maeneo yote yako mkoa wa Dar.Nzega na sikonge zote zipo mkoa wa Tabora
Zimezidi wapi?Aisee ajali zimezidi Mungu atulinde
Hapana namba ndogo hiyoMh nimepata mshtuko, hilo eneo mbona haliko vibaya kihivyo 30 ni msiba wa kitaifa