KIFOROKOKWINYO
Senior Member
- Sep 16, 2017
- 177
- 108
inashangazaRALTA, mnaonekana hamko kazin kabisa inawezekana hao abiria wasijulikane wakati Basi likoanzia Safari conda huwa anatakiwa orodha ya majina abiria anaosafirisha( man fast ya abiria wanasafiri kwa siku husika iweje wasijulikane ? Inamaana utaratibu haupo tena.
Tuliowapa majukumu haya kazi imewashimda mtoke ofisi mmeshindwa kuteleza majukum yenu mnayoyasimamia ni kitu kushangaza abiria wasitambulike wakati walikata ticket.
Kwa CCM hii watafukuzwa wangapi?. Maana wote ni viongozi mizigo.Tuliowapa majukumu haya kazi imewashinda mtoke ofisi mmeshindwa kuteleza majukum yenu mnayoyasimamia
Kama umewahi safiri Kuna ticket matandao za mabasi hiyo iko control ratra abiria waliosafiri na bas liliopata ajali walikuwa ticket matandao tracking ifanyika siku ilifanya Safari kutoka mwanza kwenda waliosafiri siku wote wataonekana kwenye mtandao huo ticket matandao majina investigation kwa vyombo viopewa mamlaka kwa utambuzi na sio kusema hajambuliwa na ndugu matumizi ya tehama kwetu hayatumiki vizuri kusaidia wahanga Kama marehemuNkanini labda nimeshindwa kukuelewa mtoa mada, utambuzi ni kazi ya police sio hao uliowataja, why kitengo cha police cha foresinc wasichukue DNA za miili hiyo na ku I run kwenye systems ya nchi ili kuwatambua marehemu hao?au ndio yale yale!,unaenda kuomba passport wanakuambia uje na documents rundo wakati ilitakiwa uwe na ID book basi