Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Gaidi ni nani? Hao ni freedom fighters kama tu TANU au ANC!! Acheni brainwashing za magharibi.MAGAIDI
Freedom fighters anauwa raia hovyo mtaani? Na ndiyo walivyokuwa wanafanya kina Che, Nyerere, na Mandela.Gaidi ni nani? Hao ni freedom fighters kama tu TANU au ANC!! Acheni brainwashing za magharibi.
DaaahGaidi ni nani? Hao ni freedom fighters kama tu TANU au ANC!! Acheni brainwashing za magharibi.
Kwa hakika yamerushwa makombora mangapi itakuwa ngumu kujulikana maana kila mtu anakuja na Idadi yakeRaia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv.
Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha.
Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama kujibu kisasi cha kuuawa kwa Kamanda Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasralaah hapo juzi.
Jijini Tel Aviv ving'ora vimesikika huku taaruki ikiwa imetanda. Iran pia imetishia kujibu kwa vikali iwapo Israel itajibu mashambulizi yake ya leo ya makombora ya ballastic.
Umkoto wesizwe ya kina Zuma ilianzishwa kuua wanajeshi na Kaburu ndio maana makao yao makuu waliyaweka Msumbiji hapo mkuu na ilikua chini ya ANC.Freedom fighters anauwa raia hovyo mtaani? Na ndiyo walivyokuwa wanafanya kina Che, Nyerere, na Mandela.
Hata kama ingekua ni wewe Israel Kila siku anawaua wapalestina Tena raia tu hasa watoto na wanawake moyo unakufa ganzi huwezi kuona thamani ya kuishi Tena .hao vijana Wana uchungu wa kuuliwa ndugu zao wanajua wanaenda kufa lakini wapi tayari na wao kuondoka na wayahudi roho zao .Aisee hii sasa hatari na ndo maana hawa jamaa wanawapa shida sana IDF maana ni ngumu kuwatambua.
Yaani ukiwaona wameshajilatia tamaa kabisa yaani la kuna na likawe.
Anadhani waliaattack muda walipokuwa wametoa taarifa ya watu waende kujifungia
Umeona walivyovaa kiraia! hawa Israeli ikiwaua dunia nzima inapiga kelele kuwa Israeli inaua raia.View attachment 3112671
Sio Raia acha kuwaremba, hao ni MAGAIDI waliofikia kituo cha Treni na kuanza kufyatua risasi kwa mtu yeyote waliyemuona
View attachment 3112663
View attachment 3112659
Vyoombo vya usalama vimewadhibiti
View attachment 3112664
Sasa mzee si kulipia kisasi ni haki.....sasa kama yeye kauliwa famialia yke yote watoto na wazee...Freedom fighters anauwa raia hovyo mtaani? Na ndiyo walivyokuwa wanafanya kina Che, Nyerere, na Mandela.
Vijana wa pedophile aka magaidiView attachment 3112671
Sio Raia acha kuwaremba, hao ni MAGAIDI waliofikia kituo cha Treni na kuanza kufyatua risasi kwa mtu yeyote waliyemuona
View attachment 3112663
View attachment 3112659
Vyoombo vya usalama vimewadhibiti
View attachment 3112664
✅✔️Hata kama ingekua ni wewe Israel Kila siku anawaua wapalestina Tena raia tu hasa watoto na wanawake moyo unakufa ganzi huwezi kuona thamani ya kuishi Tena .hao vijana Wana uchungu wa kuuliwa ndugu zao wanajua wanaenda kufa lakini wapi tayari na wao kuondoka na wayahudi roho zao .
Freedom fighters anauwa raia hovyo mtaani? Na ndiyo walivyokuwa wanafanya kina Che, Nyerere, na Mandela.
Aisee kila kukicha kila mtu anakuja na idadi yake sijui ni kwa sababu ya ushabiki au ni kitu gani,vyombo vya habari vimeripoti idadi ya watu waliouawa kwa kupigwa risasi hata 10 hawafiki,idadi ya makombora hata 200 hajafika.Raia wawili wenye silaha wanaodaiwa kuwa wametoka Palestina wamewapiga Risasi watu 23 raia wa Israel apo Jana usiku kati kati ya mji mkuu wa Israel Tel Aviv.
Vyombo vya habari vya Israel vimethibitisha.
Wakati huo huo Iran imerusha makombora aina ya ballastic yapatayo 300 leo usiku kama kujibu kisasi cha kuuawa kwa Kamanda Mkuu wa Hezbollah Hassan Nasralaah hapo juzi