stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Siitaki hio imepigwa vibaya haonekani tunataka tumuone na huyo mumewe aliekua anakibandua kile kibintiPicha ya ASP afande ipo mitandaoni sana ,hata kwenye hii thread kashawekwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siitaki hio imepigwa vibaya haonekani tunataka tumuone na huyo mumewe aliekua anakibandua kile kibintiPicha ya ASP afande ipo mitandaoni sana ,hata kwenye hii thread kashawekwa.
Potelea mbali afikishwe tu Mahakamani tumuone na kufahamiana naye vizuri kama Mahakama ikimnasua Mahakama ya umma itamuwajibisha.Aliyewatuma ni rahisi sana kukana kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja lakini kitengo cha cyber crime kikiamua kinaweza.Lazima kuna mawasiliano ya namna moja au nyingine.
Kumbe huyo mwanamke ni policcm!Picha ya ASP afande ipo mitandaoni sana ,hata kwenye hii thread kashawekwa.
Iko wapi mkuuPicha ya ASP afande ipo mitandaoni sana ,hata kwenye hii thread kashawekwa.
Wewe umemuelewa saaana Jamaa yaan you wish asingekua kwenye kwenye mkasa umtunuku marejesho yako au sio?Ndo huyo alovaa shati la draft
Changamoto kivipi? Video zipo ,binti aliyebakwa yupo ,sura za wabakaji wanaonekana live ,binti baada ya kubakwa aliumwa sana means alikuwa siyo mzoefu na jambo lile ni geni kwake.
Hakuna ugumu ,ushahidi upo wazi ,hapo iliyobaki kumjumuisha na huypo mafadhili wao afande washitakiwe kwa pamoja.
Kama ni underage sheria hairuhusu kutajwa. Also, even if is not underage, under certain circumstances, identity inaweza kufichwa.Kwanini hawataji jina wasije kutuletea mwingine wa kufanana naye kwenye ushahidi ili wavuruge kesi
Labda lengo lilikua hao madogo waundiwe kesi km hivi then wadungwe you never know wanajua wenyewe huko walichopanga labda Jela kuna mchongo wanaufuatilia ni special mission sasa Swali linakuja wanaingiaje Jela ndio hapo wanapata wazo wafanye eeh umenielewa sijui? Sasa huko Jela kuna mchongo gani Mimi na Wewe hatujui ngoja wakienda wakirudi watatusimulia kwenye vituo vya Redio na TVdah mpk unawasikitikia, vijana bado wadogo kabisaa hawa!Afande kawaponza na ukute waliliazimishwa na Afande wafanye kile kitendo!
Raha ya masaa machache kwa ujira mdogo inakuponza maisha yako yote - madogo jiandaeni kwa maisha mapya - yaani mkipona kabisa kabisa basi ni SATE.. Yaani 2024 hadi 2054.
Ni ngumu kivipi wakati sura na sauti ni zao 100%.Na jamaa alisema zamu yake ikifika anakula mavi na aliomba maji wakamyima na kumtisha kumpasua na chupa ya serengeti.Hata binti kisema alikubali tigo ni mali ya taifa.
Ni mtumishi wa chombo gani?Huyo ndiye Afande mwenyewe aliyefadhili hiyo show yote.
Tuletee na mumewe aliekua anakabandua kale kabinti ndio tutakwambia ni nani na kwanini wanamfichafichaHuyu ni nani Jamani katika seke seke hili?
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Sio arsenal ni jez ya ajax hiyoAfu jamaa shabiki wa arsenal daah wanatudharirisha hawa afu millardayo mpumbavu sana naona kapandisha video youtube then kaifuta jamaa mjinga sana
Huyo ni ngurudaNi private au kurutu?