Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Aliyewatuma ni rahisi sana kukana kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja lakini kitengo cha cyber crime kikiamua kinaweza.Lazima kuna mawasiliano ya namna moja au nyingine.
Potelea mbali afikishwe tu Mahakamani tumuone na kufahamiana naye vizuri kama Mahakama ikimnasua Mahakama ya umma itamuwajibisha.
 
Changamoto kivipi? Video zipo ,binti aliyebakwa yupo ,sura za wabakaji wanaonekana live ,binti baada ya kubakwa aliumwa sana means alikuwa siyo mzoefu na jambo lile ni geni kwake.

Hakuna ugumu ,ushahidi upo wazi ,hapo iliyobaki kumjumuisha na huypo mafadhili wao afande washitakiwe kwa pamoja.

Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.

Kama unajua kiingereza soma hapo👆.

Ni vile sina muda ningetafsiri.
 
dah mpk unawasikitikia, vijana bado wadogo kabisaa hawa!Afande kawaponza na ukute waliliazimishwa na Afande wafanye kile kitendo!
Labda lengo lilikua hao madogo waundiwe kesi km hivi then wadungwe you never know wanajua wenyewe huko walichopanga labda Jela kuna mchongo wanaufuatilia ni special mission sasa Swali linakuja wanaingiaje Jela ndio hapo wanapata wazo wafanye eeh umenielewa sijui? Sasa huko Jela kuna mchongo gani Mimi na Wewe hatujui ngoja wakienda wakirudi watatusimulia kwenye vituo vya Redio na TV
 
Ni ngumu kivipi wakati sura na sauti ni zao 100%.Na jamaa alisema zamu yake ikifika anakula mavi na aliomba maji wakamyima na kumtisha kumpasua na chupa ya serengeti.Hata binti kisema alikubali tigo ni mali ya taifa.

Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.

This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
 
Huyu ni nani Jamani katika seke seke hili?
 
Attachments

  • IMG-20240812-WA0029.jpg
    IMG-20240812-WA0029.jpg
    17.5 KB · Views: 1
Miyayushi tu hapo , naona serikali inalifanya jambo kwa uwoga kwa siri wakati ni issue straight tu, ndio shida ya jamii zetu hizi tuna laana ya milele
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.

Pia soma:

1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Washafungwa hao, watatoka kwa rufaa baada ya miaka 3
 
Back
Top Bottom