Bahatinasibu
Member
- Oct 22, 2021
- 73
- 77
Ikukuaje? funguka***** acha kabisaaa tuliwahi kuwa na kesi yaani ushahidi CCTV camera inaonesha kabisaaa ila wana tulitoboa🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikukuaje? funguka***** acha kabisaaa tuliwahi kuwa na kesi yaani ushahidi CCTV camera inaonesha kabisaaa ila wana tulitoboa🤣🤣🤣
***** acha kabisaaa tuliwahi kuwa na kesi yaani ushahidi CCTV camera inaonesha kabisaaa ila wana tulitoboa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Kisomi nilichanganyaMkuu Mtaalamu aliyebobea kisimi katika fani ya electronics. Una maana gani?
Basi nenda ukawe wakili wao. Naona utashinda kesi hii kirahisi sana learned brother
Kesi hii siku 5. Jamaa wanakula nyundo...imeisha hiyo
Hapa kuna tafsiri ya maandishi yako kwa Kiswahili:
Ushahidi wa kielektroniki unakubalika kwa mujibu wa Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki kinaeleza kuwa ili ushahidi wa kielektroniki ukubalike mahakamani kama kielelezo, kinachohitajika kuthibitishwa ni uaminifu wa ushahidi wa kielektroniki kuhusu jinsi rekodi ilivyorekodiwa na jinsi ilivyohifadhiwa hadi ilipoletwa mahakamani kama ushahidi.
Shahidi anayetarajia kutoa ushahidi wa kielektroniki lazima kwanza aonyeshe ushahidi unaoondoa uwezekano wa kudanganywa kwa ushahidi wa kielektroniki kabla ya kuwasilisha.
Kabla ya kuwasilisha ushahidi wa kielektroniki, shahidi anapaswa kuridhisha Mahakama kwa ushahidi kwamba ushahidi wa kielektroniki unaotarajiwa kuwasilishwa ni halisi. Hii inafanywa kwa kuthibitisha hali ya kiufundi ya kifaa wakati wa kurekodi, jinsi rekodi ilivyofanywa, na nani aliyeifanya na kuhifadhi hadi ushahidi ulipowasilishwa mahakamani.
Ikiwa rekodi ya kielektroniki ilibadilishwa kuwa vyombo vya sekondari kama flash, njia ya kubadilisha kuwa vyombo vya sekondari pia inapaswa kuthibitishwa.
Tunamtaka aliewatuma hao vibakaWatu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
JW mlinzi wa Taifa ( MT)MT.140105 Ina maana Gani. Je huyo mbakaji ni WA 140105 katika vikosi vyetu vya ulinzi??😇🙄
Kwani yule RC aliyefikishwa mahakamani kwa kesi ya ubakaji kulikuwa na video? Binti si ndiye aliyetendewa? Binti si ndiye aliyeenda kushitaki? Video(Picha jongefu) au CCTV footage ni just a supporting evidence tu na wala mahakama hawatorelay na hizo clips ,watarelay na maelezo ya Binti maana yeye ndiye aliyelawitiwa na madaktari watathibitisha kama kweli binti aliingiliwa.
SawaKama ni underage sheria hairuhusu kutajwa. Also, even if is not underage, under certain circumstances, identity inaweza kufichwa.
Sure kaka nilifananisha vbyaSio arsenal ni jez ya ajax hiyo
Kesi hazifanani. Kila kesi huamuliwa kulingana na muktadha wake.
Kesi ya RC na ya Binti wa Yombo zina utofauti, na hivyo maamuzi yake hayawezi kufanana na wala huwezi kuchukua uamuzi wa kesi hizi mbili kama kitu kimoja.
Kwanza kesi moja ni ulawiti pekee wakati nyingine ni ubakaji wa kundi (gang rape na ulawiti).
Halafu kuwa na ushahidi ni jambo moja, na kuuthibitisha* ushahidi ni jambo lingine.
Jela hawa nao watabakwa
hakuna aliye watuma bali inasemekana mwanamke huyo alikuwa kwenye biashara ya kujiuza.Tunamtaka aliewatuma hao vibaka
Huo ufupi umetajwa kuwa na manufaa kwa jeshi kalitakiwa kusomea ukomandooHuyo mwenye jezi kama ya Simba kafupi sana, kaliwezaje kuwa Askari!
Nazungumzia video kama ndiyo hoja ya kuwatia hatiani ,hizo kesi ni tofauti kabisa...video ni supporting evidence tu ,kesi nyingi za waliofungwa miaka thalatha za ubakaji hazina video so hoja ya kuthibitisha kwenye video siyo ya msingi sana maana kuna watu wamefungwa kwa kesi za ubakaji na wala kulikuwa hakuna video clip.