Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.
====================

Pakistani authorities say they have negotiated a seven-day ceasefire after more than 80 people were killed in renewed sectarian violence in the north-west of the country.
Another 156 are said to have been wounded in three days of fighting in the tribal district of Kurram, near the Afghan border.

The violence began on Thursday, when gunmen attacked convoys of Shia Muslims travelling through the area under police escort. More than 40 died in that incident, which triggered revenge attacks.
Shia and Sunni Muslims have engaged in tribal and sectarian rivalries over land disputes for decades.

After negotiations on Sunday, government spokesman Muhammad Ali Saif said that both Shi'ite and Sunni leaders had agreed to halt the violence, Reuters and AFP news agencies reported.

On Sunday a local administration official told AFP: "The clashes and convoy attacks on November 21, 22, and 23 have resulted in 82 fatalities and 156 injuries." Speaking on condition of anonymity, he said that 16 of the dead were Sunni and 66 belonged to the Shia community.

Those killed in Thursday's attacks on convoys included women and children. Passenger Saeeda Bano described to BBC Urdu how she feared she would be killed as she hid under the car seats with her children.
Hundreds of residents fled amid escalating violence Friday and on Saturday.

A resident of a Sunni village said members of his family have fled to safety while he stays behind. “We’ve been hearing gunfire all night. I sent the women and children of my family to hide in the mountains," the man said.

4a149ec0-aa47-11ef-9110-a9cc934a8e55.jpg.jpeg

Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza

Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.

View attachment 3160583
Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza

gTurn Kosugi Malaria 2 Jagina Ritz ITR Adiosamigo

nyau de adriz
Kwani ndug zetu Huwa Wana shida Gani kichwani?
 
Dini janga lingine la dunia.
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.

Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo waislamu Sunni wenye silaha za moto walipovamia msafara wa waislam wa madhehebu ya Shia ambao walikuwa ukisafiri chini ya ulinzi wa polisi. Zaidi ya watu 40 waliuliwa na kusababisha wa Shia walipize kisasi.

View attachment 3160583
Waislam wa madhehebu ya shia na Sunni wanachukiana sana na kuuana Pakistan.

Source BBC.

Soma zaidi kwa kiingereza

gTurn Kosugi Malaria 2 Jagina Ritz ITR Adiosamigo

nyau de adriz
 
😅😅😅 very interesting. Yaani Waislamu hawawezi kuishi na Myahudi, Mhindu, Budha, Mkristo lakini pia hawezi kuishi hata wao kwa wao. Zanzibar tu hapo kama sio mkono wa chuma (kuna suruali fupi na ndefu kule) lazima watapigana tu.
Ukianza dhambi ya ubaguzi, huwezi kuishia hapo, ni kama kula nyama ya mtu, utaendelea tu. By J. K Nyerere, August 1995 Kilimanjaro hotel( sasa Kilimanjaro Kempisk)
Kwamba hapo dhehebu moja linachukulia dhehebu lingine ni makafiri.
 
Back
Top Bottom