Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.

_----------+

Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned Mehr News.

A senior Lebanese security source told Al-Hadath that Israel infiltrated the communication system of individual devices and detonated them.

Reports from Arab and Israeli media have said that over 1,200 people have been wounded.

Hundreds of members of the Lebanese terrorist group Hezbollah were seriously wounded on Tuesday in Lebanon's south and the southern suburbs of Beirut when the pagers they use to communicate exploded, security sources told Reuters.

A Reuters journalist saw 10 Hezbollah members bleeding from wounds in the southern suburb of Beirut known as Dahiyeh.
 
Ndio wanamgambo wanaopigana na adui Israel watazidi kujitegemea kiteknojia.
Mbinu ya kuua mmoja mmoja au hata kwa makundi haijafanya kazi kupunguza vita dhidi yake bila kuacha dhulma na dharau.
 
Ndio wanamgambo wanaopigana na adui Israel wanazidi kujitegemea kiteknojia.

Teknolojia mnatumia zao, elimu yenu ya madrasa imeshindwa kumfikia MyahudMyahudi licha ya nyie kuwa mabilioni ya wafuasi kote duniani, hapo Muisrael kacheza bab-kubwa
 
Ndio wanamgambo wanaopigana na adui Israel wanazidi kujitegemea kiteknojia.
Mbinu ya kuua mmoja mmoja au hata kwa makundi haijafanya kazi kupunguza vita dhidi yake bila kuacha dhulma na dharau.
Wanajitegemea kivipi wakati pagers zao zimekuwa accessed na MOSSAD na imeamua izilipue muda ambao imetaka. Muda wote huo hawakuwa wanajua ina access nazo.

Hezbollah kipigo cha paka shume kinawajia. Maandalizi ndio kama hivi
 
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.

_----------+

Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned Mehr News.

A senior Lebanese security source told Al-Hadath that Israel infiltrated the communication system of individual devices and detonated them.
Reports from Arab and Israeli media have said that over 1,200 people have been wounded.
Hundreds of members of the Lebanese terrorist group Hezbollah were seriously wounded on Tuesday in Lebanon's south and the southern suburbs of Beirut when the pagers they use to communicate exploded, security sources told Reuters.

A Reuters journalist saw 10 Hezbollah members bleeding from wounds in the southern suburb of Beirut known as Dahiyeh.
Hii mbinu imeni surprise sana.
Sijui hawa IDF wamewezaje????
Yaani ukiangalia video jinsi Hezbollah walivolipukiwa hadi huruma.
 
Huo ni mwanzo wa wao kujipanga, na kujua wanasolve vipi, na hapo kawapa hizbollah green light ya kupiga raia wasidhani kuna mtu atawaachia ile ardhi hii vita ni muda mrefu sana aangalie pia nini kitamcost
 
Hii mbinu imeni surprise sana.
Sijui hawa IDF wamewezaje????
Yaani ukiangalia video jinsi Hezbollah walivolipukiwa hadi huruma.
Ndege ya marekani ilikuja Beirut siku cha chache zilizopita wanasema hiyo ndege ina vifaa vya kielectroniki vinavyoweza kuwasiliana na simu au vifaa vya aina Fulani. Kwahiyo chain ilianzia kwa supplier mpaka kwa user. Walichofanya wakazi hack battery zake kuwa baada ya muda Fulani zilipuke. Kuna mtaalamu profesa mmoja wa marekani anaelekea ila hata hivyo anasema ni mbinu za kizamani hasa kwa mashambulio ya kimtandao.
 
Hii mbinu imeni surprise sana.
Sijui hawa IDF wamewezaje????
Yaani ukiangalia video jinsi Hezbollah walivolipukiwa hadi huruma.
Nipe huo uhondo ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jana sikula chakula niliposikia Israel imerushiwa mabomu ngoja nilale kuku mzima kabisa😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣ISRAELLLLIIIIIII PIGA MAGAIDI HAYOOL UAAAAA😄🤣🤣🤣👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝NAOMBA HIYO VIDEOO
 
Israeli anaficha taarifa ili asipatwe na aibu super power wa mchongo. Lile shambulio la ICBM lilikula vichwa 9
Israel anaficha madhara, nyinyi mnaoyajua yalete na ushahidi. Au nanyi mnaficha madhara 😂

Shambulizi lake leo kwa Hezbollah matokeo tumeyaona hospitalini, madukani, barabarani, nyumbani, maofisini. Vifo, majeruhi vyote vimetangazwa na bado vinaendelea.
 
Wewe uliona wapi Hezbollah akificha taarifa? Hezbollah wanatangaza na picha za waliokufa wanaweka mtandaoni. Israeli anaficha ili kulinda asipatw aibu huku watu wanakufa
 
Back
Top Bottom