Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

Eti "Hamas wamethinitisha " ww jamaa u can't be serious yaani watu wanaishi kwenye mashimo kama panya buku ndio wathibitishe kweli?
Kwahio Lebanon hAmas hawapo? Sasa taarifa IMETOLEWA kwenye channel ya hamas na wameweka evidence zao humo hivi unadhani wale jamaa ni mafala kiasi hicho unasema wako shimoni wewe ndio uko shimoni wananetiwek yao na silaha na chakula kinaingia kila siku mbele ya idf na mateka wenu wanainjoy shimoni huko
 
Hii mbinu imeni surprise sana.
Sijui hawa IDF wamewezaje????
Yaani ukiangalia video jinsi Hezbollah walivolipukiwa hadi huruma.
Koma unasema HADI HURUMA?

HAO MAGAIDI HAYAPASWI KUONEWA HURUMA,😄😄💯🤣🤣🤣❌❌
 
Ebu wekeni ushabiki wenu pembeni.. tujiulize maswali kidogo..
Pagers ni viteknolojia vya mawasiliano vya kizamani sana.. kabla hata ya nokia ringo au nokia 3310.. inategemewa ziwe salama zaidi.. ila jamaa wametumia science ya waves/frequencies tu wamezilipua..
Sasa hizi simu zetu za siku hizi zenye mambo mengi si wanaweza kuzibutua muda wowote wakiamua?
 
Ndio iko hivo
 
Vizee vya kuplay innocent et wame ua raia wa kawaida nyooo!!!?
Raia wa kawaida hivo vifaa walikua wana fanyia nn?
wakati hayo magaidi ndio walikua wana tumia kufanyia mawasiliano yao na idadi ime fika 3000+ majeruhi hawana pumbu kwisha habari yao shwaaaaaaah!!.
 
Hawana maajabu
Nguvu ya shekeli inawafanya waehuke. Yote hayo nyuma ya pazia ni mmarekani ndo anafanya huo ujinga.

HAWA JAMAAA NILIKUWA NAWACHUKIA KAMA WEWE LAKINI NIMEJIKUTA KWA SASA NAWAKUBALI KINYAMA. WANA SPIRIT. IRAN WAMENYWEA MPAKA LEO MAYAHUDI WAMEZUNGUKWA NA MAARABU KOTE NA BADO WANA SURVIVE? SIYO WA KAWAIDA. JAMAA NI VIDUME HASA.
 
Ulikuwa unawachukia kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom