gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Kwahio Lebanon hAmas hawapo? Sasa taarifa IMETOLEWA kwenye channel ya hamas na wameweka evidence zao humo hivi unadhani wale jamaa ni mafala kiasi hicho unasema wako shimoni wewe ndio uko shimoni wananetiwek yao na silaha na chakula kinaingia kila siku mbele ya idf na mateka wenu wanainjoy shimoni hukoEti "Hamas wamethinitisha " ww jamaa u can't be serious yaani watu wanaishi kwenye mashimo kama panya buku ndio wathibitishe kweli?