Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

Ungesubiri mpaka angalau upitiwe na usingizi mkuu siku Yako isije ikaharibika kabla ya asubuhi. Kisasi cha Hezbollah Huwa hakilali wameshatoa taarifa rasmi hivi ninavoongea Netanyahu anaelekea kwenye handaki lake pale Jerusalem.šŸ˜‚
 
Waliokuwa navyo mfukoni hawana map*mbu sasahivi. Operation katap*mbu
Wanasema awatoweza kuzaa tena na pia watakuwa benji kwa muda mrefu sana😭 na hospital zitaishiwa ant biotics
 
Waliokuwa navyo mfukoni hawana map*mbu sasahivi. Operation katap*mbu
Yaani hii operation sio ya kitoto ! Jamaa wamewaweza kwelikweli🤣🤣
 

Attachments

  • IMG_6407.jpeg
    95.5 KB · Views: 4
  • IMG_6408.jpeg
    167.6 KB · Views: 3
  • IMG_6409.jpeg
    154.4 KB · Views: 4
  • IMG_6417.jpeg
    175.5 KB · Views: 3
  • IMG_6416.jpeg
    185.7 KB · Views: 2
  • IMG_6415.jpeg
    73.7 KB · Views: 3
  • IMG_6412.jpeg
    134.6 KB · Views: 1
  • IMG_6413.jpeg
    69.7 KB · Views: 3
  • IMG_6414.jpeg
    208.7 KB · Views: 3
Kichapo kinaendelea. Pagers zimeleta kasheshe🤣🤣
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1726585636425.mp4
    1.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…