Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba SwaleheTanga hatari mkuu usicheze na tanga unanyolewa na kisosa
Mkanda unavuliwa na meno
Unaogeshwa maji ya Iliki unakua unanukia maandazi
Ndio maaaana wavivuuuu,kumbe uchovu wa mambo ya iliki,na mdalasiiiniiii🤪Tanga hatari mkuu usicheze na tanga unanyolewa na kisosa
Mkanda unavuliwa na meno
Unaogeshwa maji ya Iliki unakua unanukia maandazi
Niambie good brain
Half man half machine....Niambie good brain
Eti unanukia mandazi yani nmecheka kichiziTanga hatari mkuu usicheze na tanga unanyolewa na kisosa
Mkanda unavuliwa na meno
Unaogeshwa maji ya Iliki unakua unanukia maandazi
Hapana mkuu nliwakumbuka ndugu zanguHalf man half machine....
Nikiona umetia timu jf najua kuna mtu kaleta swali la physics mkuu 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Sana sana tena sana tuu...Hapana mkuu nliwakumbuka ndugu zangu
. Kumbe na nyie mnanikumbuka 🙋🙏
Usingoje kusimuliwa jamaa anayo yasema Yana ukweli 100%% kua uyaone sio magorofa..
Sasa huyo msukuma huko tanga alifata nini kama siyo kutafuta balaa tu.Ati otikiii🤣🤣👇👇
View attachment 2991777
Ni mambo ya kawaida hayo,Ila ukiwa mtu ambae hupend mbwembwe utaona ni kero mkuu😆😆😆😆Ati otikiii🤣🤣👇👇
View attachment 2991777