Watu ambao mmeoa Tanga mtupe majibu hapa hii je ni kweli

Ajabu mwanaume unalalamika vipi kumhudumia mke wako? Wenzake wanatafuta bahati kama hizo, wengi siku hizi utakuta anambania mume wake anaenda kugawa kwa mtu anayempenda, wanawake kama hakupendi hasikii hamu na wewe
Hawezi elewa, kama amechoka(pumzi zake kisoda) sisi tunamuomba "SUB" aje benchi atupishe na sie "tusakate kabumbu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…