Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681
Anza na Nyerere wa nyumbani hapa hapa
 
Nyerere, Benjamin William Mkapa, Jaji Sinde Warioba ex PM!
Muda wowote nikipewa nafasi nitagonga nao cheers!

Nje ya nchi Put-in, Bob Marley, Fidel Castro, mbali na mabeberu

Katika mabeberu Margaret Thatcher, Angela Merkel, na Benjamin Netanyahu!

Netanyahu alikuwa akili kubwa. Kuwatawala sijui kuwaongoza wale waisrael wakaksi, kupangua shutuma na kesi zake yaani huwa namuona genius! Huku kukiwa na Hamas na PLO, Kwa vipindi tofauti, huwa namu admire! Ujasiri na uthubutu! Sifagilii uuaji wa wapalestina!
Mpalestina anatumia manati muisrael anatumia bunduki! World is not fair!

Ila kuna kwamba Silvio Berlusconi, kuna issue aliambiwa hii kesi huchomoi labda uwe prime minister, jamaa akasema ndoho taabu. Akawa prime minister! Haa haa!
Wewe nimekukubali wabongo wengi tuna ulimbukeni wa kuwa heroes kutoka nje tunawasahau our real heroes and legends.

Sijui kwa sababu historia zao zeandikwa kwa kiingereza na hollywood wamezi adapt[emoji23][emoji23][emoji119]
 
images (24).jpeg

download (21).jpeg

download (20).jpeg
download (19).jpeg
download (22).jpeg
 
Back
Top Bottom