Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Denzel Washington (Muigizaji filamu), Bob Marley (Mwanamuziki) na Lionel Messi 'Little Magician' (Mchezaji Mpira)

Hao ndo mashuhuri 3 nao wakubali Ila siwezi bandika picha zao sebleni kwangu.
 
Nasir bin Olu Dara (Nas Escobar), Tupac Amaru Shakur, Malcolm X
 
Mama na Baba hawa ndio watu wangu maarufu wenye inspirational za kutosha
 
Vladimr putin
IMG_20220419_124027.jpg
 
Kwa upande wangu ni :

Fidel Castro
Che Guevara
Cristiano Ronaldo
 
🤣🤣 Nawakubali sana japo siwezi weka picha zao ila nawakubali mno.
Daenerys Targaryen, "We obviously didn't communicate clearly. We're here to discuss your surrender, not mine."
Dahh🦖.. Huo mkwara kwa Kiswahili hata haunogi.
 
Dahh🦖.. Huo mkwara kwa Kiswahili hata haunogi.
Yani, ukiachilia story nzima ya GOT ila mpangilio wa dialogues ni wa kiwango cha maglev.
Your reign is over.
Akamjibu My reign has just begun. Yani hii ni mojawapo ya scenes nnazopenda.
Halafu kuna ile ya Podrick alipoimba ule wimbo wa Jenny of oldstones kabla ya battle with night king.
 
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681
Aisee Zaidi ya mama yangu na baba yangu hakuna mambo ya kutundika mipicha ya watu ndani kwangu
 
Back
Top Bottom