Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Nitakuwa nakutembelea daily
Karibu mkuu

1648208643325.jpg
 
Mimi hapo anakaa Malcom X
Namba mbili Martin Luther King Jr
Namba tatu James Brown
 
Che guevra, Mohammed Ally na Pablo Escobar
 
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681

Malcom X
Thomas Sankara
Che Guevara & Fidel Castro
 
Ok.
1.mwl. Nyerere
2.Gaddaf
3.magufuli
4.kikwete


1.bob Marley
2.joseph hill (culture)
3.luck dube
3. Mbowe

1.pro jay
2.sugu
3.2pac A Shakur
4.koffi Olomide

1.baba yangu & his wife
2. Mke wangu
3.watoto wangu
4.MIMI
Oyaa man watu muhimu ni wengi mpaka roho inauma man
 
Back
Top Bottom