Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

Joseph Stalin, Vladimir Lenin, mao Zedong, Julius Nyerere ,John magufuli, Winston Churchill
 
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.

Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?

View attachment 2221681
1. Mwalim J.K.Nyerere (R.I.P)
2. V. Putin
3. Albert Mangwair (R.I.P)
 
Back
Top Bottom