Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Bill Gates – Microsoft
Aliondoka katika Harvard University.
Kabla ya kuacha chuo:
Aliacha Harvard University.
Kabla ya kuacha chuo:
Aliacha kusoma katika Reed College.
Kabla ya kuacha chuo:
Kabla ya kuacha chuo:
Kabla ya kuacha chuo:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
- Tayari walikuwa na ujuzi maalum
- Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
- Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
- Tayari walikuwa na connections nzito za watu waliotoboa
- Tayari walikuwa na uzoefu wa miaka mingi wengine tangu utoto katika kitu wanachofanya
Bill Gates – Microsoft
Aliondoka katika Harvard University.
Kabla ya kuacha chuo:
- Alianza kujifunza programu za kompyuta akiwa na miaka 13 tu.
- Alianzisha kampuni ndogo iliyoitwa Traf-O-Data ya kuchambua data za magari barabarani.
- Alikuwa tayari anafanya kazi na Paul Allen.
- Walikuwa tayari wamepata nafasi ya kutengeneza software kwa kompyuta ya Altair 8800.
- Hapo ndipo mwanzo wa Microsoft ulipoanza.
Aliacha Harvard University.
Kabla ya kuacha chuo:
- Alikuwa tayari anatengeneza programu tangu shule ya sekondari.
- Chuoni alitengeneza mifumo kama CourseMatch na Facemash ambayo baadae ikaitwa facebook.
- Facebook tayari ilikuwa na maelfu ya watumiaji katika vyuo mbalimbali.
- Wawekezaji walikuwa tayari wanaonyesha nia ya kuwekeza.
Aliacha kusoma katika Reed College.
Kabla ya kuacha chuo:
- Alikuwa na hamu kubwa ya teknolojia na ubunifu.
- Tayari alikuwa anashirikiana na Steve Wozniak mtengeneza computer maarufu (connection nzito).
- Baadaye waliinua wazo hilo na kuanzisha Apple.
Michael Dell – Dell Technologies
Aliacha kusoma katika University of Texas at Austin.Kabla ya kuacha chuo:
- Tayari alikuwa anaendesha biashara ya kompyuta kutoka chumba chake cha bweni chuoni.
- Biashara hiyo ilikuwa inaingiza takribani dola 80,000 kwa mwezi.
- Kampuni yake tayari ilikuwa inaanza kukua.
Larry Ellison – Oracle Corporation
Kabla ya kuacha chuo:- Tayari alikuwa anafanya kazi kama programmer (mtaalamu wa programu za kompyuta).
- Alikuwa anapata uzoefu mkubwa kwenye mifumo ya database.
- Uzoefu huo baadaye ulimsaidia kuanzisha Oracle.
Jack Dorsey – Mwanzilishi mwenza wa Twitter
Aliacha kusoma katika New York University.Kabla ya kuacha chuo:
- Tayari alikuwa ametengeneza software iliyotumika na kampuni za teksi kupanga safari.
- Alikuwa tayari anaingia kwenye dunia ya startups za teknolojia.
- Baadaye akasaidia kuanzisha Twitter.