Watu hawapaswi kuhofu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025

Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Kongolee;
Umemaliza mwaka huu vizuri kabisa!
Maisha hayawezi kwenda kama tunatawaliwa na hofu + assumptions!
 
Ikiwa chama Cha MAPINDUZI kimeanza compaign mapema na Mkt wa Tume ya Uchaguzi Yu kimya,

Makundi yanachangishana kumchukulia fomu na uchaguzi Bado,

U nani wewe kuondoa HOFU ya kura za kwenye mabox?
 
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.

Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.

Kweli yalikuwepo matilatizo katika Uchaguzi uliopita. Lakini yale yalikuwa ni makosa ya Magufuli ambaye hakutaka Wapinzani wapate kiti hata kimoja.

Lakini matatizo haya sasa yamekwisha.
Kama Katiba inaweza kubadilishwa katika kipindi hiki kifupi, sawa. Au kama inawezekana kupata Tume Mpya ya Uchaguzi, sawa.

Lakini haina lazima. Halafu complaints za Uchaguzi ni complaints dhidi ya TISS.
Kwa hiyo, itategemea jinsi TISS wanavyofanya kazi. Au jinsi Polisi wanavyofanya kazi.

Au sivyo utakuwa unahangaika bure kuibadili Katiba. Mimi naamini kwamba this is a mature country na hatutashindwa kufanya Uchaguzi credible mwaka 2025.
Hakuna uchaguzi nchi hii acha kusumbua watu wewe ccm wameharibu sana mfumo wa uchaguzi kwenye hii nchi! halafu wapinzani wa Tanzania na ccm ni kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom