Watu hawapaswi kuhofu kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025

Kongolee;
Umemaliza mwaka huu vizuri kabisa!
Maisha hayawezi kwenda kama tunatawaliwa na hofu + assumptions!
 
Ikiwa chama Cha MAPINDUZI kimeanza compaign mapema na Mkt wa Tume ya Uchaguzi Yu kimya,

Makundi yanachangishana kumchukulia fomu na uchaguzi Bado,

U nani wewe kuondoa HOFU ya kura za kwenye mabox?
 
Hakuna uchaguzi nchi hii acha kusumbua watu wewe ccm wameharibu sana mfumo wa uchaguzi kwenye hii nchi! halafu wapinzani wa Tanzania na ccm ni kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…