Fanyeni kazi, hizi mambo za pata potea zinasababisha shida ya afya ya akili, watu wanakua kama mazezeta.Ona mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari View attachment 3539944
Heshima yako dada mkuu wa wakuuFanyeni kazi, hizi mambo za pata potea zinasababisha shida ya afya ya akili, watu wanakua kama mazezeta.
Na kama uko curious nenda kasome pia psychological effects of betting and gambling.
Marahaba, mzima wewe?Heshima yako dada mkuu wa wakuu
Mimi mzima dada ,kheri ya mwaka mpya ,naomba tuuanze mwaka kwa heshima ya mkubwa na mtoto ya kale tuyasahau .Marahaba, mzima wewe?
Jaribu na weweOna mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari View attachment 3539944
Ajalegeaa maana akishindwanbila kulegeaa anarudii huyooMimi mzima dada ,kheri ya mwaka mpya ,naomba tuuanze mwaka kwa heshima ya mkubwa na mtoto ya kale tuyasahau .
Karibu nipo maeneo tena hapa ,nikaona nikupe tu heshima yako dada baada ya shetani kushindwa
Mpwa ,nitakuwa ukwamani mchana huu njoo ule pweza na ngisi alafu ukajionee mambo ya masai pub wakifanya kufuru ,kuna wadada kutoka tunduma wako jijini wanaenda kwa jina la Mama Aisha ,kazi yao si ndogo mpwaAjalegeaa maana akishindwanbila kulegeaa anarudii huyoo
Mpwa masai pub ya kinondoni ama nipe Chimboo mpwa wanguMpwa ,nitakuwa ukwamani mchana huu njoo ule pweza na ngisi alafu ukajionee mambo ya masai pub wakifanya kufuru ,kuna wadada kutoka tunduma wako jijini wanaenda kwa jina la Mama Aisha ,kazi yao si ndogo mpwa
Kinondoni mpwaMpwa masai pub ya kinondoni ama nipe Chimboo mpwa wangu
Mpwa ile pemben ya studios imerudi kha watatuua mpwaa aisee baba akiumwa nilikuwa namweka sawa napaki pale CCM najisogeza maeneoo hataree altazaa tupui mpwa hahaaKinondoni mpwa
Nimecheka hata sijui kwanini 😅, haya mdogo wangu, Mungu akusimamie utulie upate mke sasa!Mimi mzima dada ,kheri ya mwaka mpya ,naomba tuuanze mwaka kwa heshima ya mkubwa na mtoto ya kale tuyasahau .
Karibu nipo maeneo tena hapa ,nikaona nikupe tu heshima yako dada baada ya shetani kushindwa
Unatoa siri sasa ndiyo nini hivyo ?Nimecheka hata sijui kwanini 😅, haya mdogo wangu, Mungu akusimamie utulie upate mke sasa!
Mpwaa yalikukuta mwaka mpya nn 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 siriyetuUnatoa siri sasa ndiyo nini hivyo ?
😃😃 mpwa wanasema ujana maji ya moto ila yaliniunguza mpwa ,nimekubali kuwa nimekosea mimi nisamehewe tuMpwaa yalikukuta mwaka mpya nn 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 siriyetu