min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mimi sio mtu wa kubeti ila mdogo wangu kazamia kwenye hii kitu , huwa namshangaa sana kwa sababu yeye kubutua mili 20 ,mpaka 70 mara kwa mara ni kawaida na pia huwa anapigwa hela ndefu wala hawazi kabisaNope dogo langu flani hivi...me nililamba 1M ya mtaji manake me mwenyewe wa bet sana tuš