MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mh kama naikumbuka hiyo mpwa ,hilii jamvi linatuvua sana nguo mpwa ni vile wanasema wanaume shida tumeumbiwa tunafanya kujikaza tumm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo