Watu kumbe wanatusua kwenye betting?

Elewa maisha kila mtu na bahati yake.
Mtaani kwako kuna mtu kafungua mgahawa katoboa, mwingine jashindwa biashara kafunga.. kuna aliyetoboa kwenye biashara ya magari, mwingine yamemdosea.

Unaweza ingia kwenye betting ukaambulia vipigo mpaka basi

Na nyongeza ushajiuliza huyu mchizi mpaka kula hiyo 90 ni kaliwa mara ngapi? Na je km dau lake huwa 20, ana kipato cha aina gani, hiyo 20 ni pesa ya ziada qmbayo akipoteza haimuumi ama akiliwa ndio hata kula chakula hakipiti kooni?
 
Mimi mzima dada ,kheri ya mwaka mpya ,naomba tuuanze mwaka kwa heshima ya mkubwa na mtoto ya kale tuyasahau .
Karibu nipo maeneo tena hapa ,nikaona nikupe tu heshima yako dada baada ya shetani kushindwa
Nimecheka hata sijui kwanini πŸ˜…, haya mdogo wangu, Mungu akusimamie utulie upate mke sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…