MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mh kama naikumbuka hiyo mpwa ,hilii jamvi linatuvua sana nguo mpwa ni vile wanasema wanaume shida tumeumbiwa tunafanya kujikaza tumm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo
Hatari sana hiyo, ukiona umefikia umri huo wa Mzee mwenzangu hapo kwenye picha ukiwa unaendelea ku-bet ujue upo tayari kuuza hata nyumba uliyoijenga kwaajili ya familia ili upate kipato cha kuendelea ku-bet tu 🙌Angalia kwenye Duara View attachment 3539948
Leo tunapigia wap bia mkuu..😃😃 mpwa wanasema ujana maji ya moto ila yaliniunguza mpwa ,nimekubali kuwa nimekosea mimi nisamehewe tu
Ona mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari
Namjua vizuri...mpaka mkeka unatiki tulikuwa wote na nikalamba 1M katika hiyo! Hizi issues ni real,af hiyo stake ilikuwa gift...can you believe it? Watu wana bahati zaoOna mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari View attachment 3539944
😂😂😂😂😂mm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo
Acha tu uzuri tunaishi nao tunatu ziana siri nao woii weweeeeeeeeee m nshameet na shangazi yangu acha kabisa jfMh kama naikumbuka hiyo mpwa ,hilii jamvi linatuvua sana nguo mpwa ni vile wanasema wanaume shida tumeumbiwa tunafanya kujikaza tu
ilikuwaje tena?mm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo
Mh Mike hii mbona kama ni code mkuu ?Mimi jana nimeona workmate akipiga 54 millions kwa stake ya elfu 2.
Ila betting ni pepo wachafu
Hapo sifa uwa ni mbio mpwa hakuna kusubiri sura yako ionekane mwisho upigwe pichaAcha tu uzuri tunaishi nao tunatu ziana siri nao woii weweeeeeeeeee m nshameet na shangazi yangu acha kabisa jf
Mkuu possible ila betting shida huwezi kutembelea nyota ya mwenzio kama uzinzi na umalaya hii ukifa unakufa kwelii ukitoboa unatoboaa mkuu....Mimi jana nimeona workmate akipiga 54 millions kwa stake ya elfu 2.
Ila betting ni pepo wachafu
Leo ni masai pub ,kinondoni kaka ,sijaweza kuja mjini mwenyewe nimelifuata gari la wadada wa kanga moko kutokea halmsahuri ya mji mdogo tunduma ,almaarufu MAMA AISHA .Leo tunapigia wap bia mkuu..
Mkuu hizo location unazotoa zinakuwa za kweli?Leo ni masai pub ,kinondoni kaka ,sijaweza kuja mjini mwenyewe nimelifuata gari la wadada wa kanga moko kutokea halmsahuri ya mji mdogo tunduma ,almaarufu MAMA AISHA .
Karibu kaka ,nitakuwepo pale kuanzia saa nane nikimlaani shetani na kulitukuza jiji kwa kuendelea kuwa na amani
Mpwaa unauliza Pombee bar mpwa ajawahi shindwa labda pepo amwingieMkuu hizo location unazotoa zinakuwa za kweli?
Uko sahihi mrembo wa zamaniFanyeni kazi, hizi mambo za pata potea zinasababisha shida ya afya ya akili, watu wanakua kama mazezeta.
View attachment 3539953
Na kama uko curious nenda kasome pia psychological effects of betting and gambling.
Apunguze basi aisee,😀Mpwaa unauliza Pombee bar mpwa ajawahi shindwa labda pepo amwingie
Siri ya wapwa kaka ,kwenye komenti zangu unao waona wananijibu na kujibishana wanaelewa nini nazungumza mkuu .Mkuu hizo location unazotoa zinakuwa za kweli?