Watu kumbe wanatusua kwenye betting?

Odds za elfu Moja ni mechi nyingi sana ..lazima uwe umetulia
 
Mow
A kwa mama Aisha wapi nije mpwaa
 
MPWAAA NIMECHEKAA MPAKA NKAPUMUA MBELE YA MAMA MKWE HAPA NIMEINGIA CHUMBAN WANAULIZANA NA MWANAE MAJI MACHAFU UJAYAMWAGA πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† MPWA NYO....HUFAI WEWEE

2022 KUNA MDADA ALIKUJA INBOX ANATAKA KUNIONYESHA UPENDO πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† NKAWAZA NA MADONGO YANGU NKATENGENEZA LINE TUKANZA CHAT SIKU TUKUTANE SINZA M NKAKA MWISHO NA DOGO WANGU KAKA MWANZON AKASMS KAINGIA DOGO AKAMWAMBIA KWA SMS NIKO HAPA KIBANDA YA WAKALA AKIPIGA APOKEI ILA ASHAMWONA HAHA ANAYANYUKA MWANAUME SHEHE HEE SIMU IKAZIMWA DOGO AKANIFWATA KAKA WANGESE WALE HAKUNA MWANAMKE UTAF...NA WAHUN OOH SHEHEEE TOKA SIKUHIO HUMU MM TENA WOII...NIMEITUNZA SIKUZOTE KHA GHARAMA VILE WEWE
 
Enhee mpwa wanari wamejazana sana hapa jamvini ukikosoa kidogo tayari upo kwenye target
Hivyo hatukai kiboya inabidi muda mwingine tuwape nusu ya CV zetu ili ajue anayetaka kukutana naye ni mtu wa namna gani ili aamue yeye kuja au kula winga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…