Mimi sio mtu wa kubeti ila mdogo wangu kazamia kwenye hii kitu , huwa namshangaa sana kwa sababu yeye kubutua mili 20 ,mpaka 70 mara kwa mara ni kawaida na pia huwa anapigwa hela ndefu wala hawazi kabisaNope dogo langu flani hivi...me nililamba 1M ya mtaji manake me mwenyewe wa bet sana tuπ
Kupigwa parefu kawaida...ila siku na wewe ukimuotea unambutua kweli daadeki...kwa mfano huyo dogo hapo faida yake ni 40M tu,inamana alishamuachia Kanji 50M+Mimi sio mtu wa kubeti ila mdogo wangu kazamia kwenye hii kitu , huwa namshangaa sana kwa sababu yeye kubutua mili 20 ,mpaka 70 mara kwa mara ni kawaida na pia huwa anapigwa hela ndefu wala hawazi kabisa
Hapo sijajua mkuuKupigwa parefu kawaida...ila siku na wewe ukimuotea unambutua kweli daadeki...kwa mfano huyo dogo hapo faida yake ni 40M tu,inamana alishamuachia Kanji 50M+
Muache, huenda akapata penalty mida ya jioniAngalia kwenye Duara View attachment 3539948
Duuu watu na bahati zao ungeweka na wwee mkuu habari zingekuwa nyingine hongereniFoffana Chibike min -me Pdidy Mwalimu wa tuisheni
Mkeka wenyewe huo hapo niliupiga picha...ilikuwa juzi usiku! Siwezi kusema mengi nisije nikaji expose
mm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo
Pole sana aisee ilikuajemm toka yaliponikuta 2012 sina hamu tena humu
bila huruma nina mwezi mama katoka kufariki nikapigwa kitu kizitoo
ulipata sh ngapi?Mkuu possible ila betting shida huwezi kutembelea nyota ya mwenzio kama uzinzi na umalaya hii ukifa unakufa kwelii ukitoboa unatoboaa mkuu....
M nilishajenga vyumba 5 na betting woi
Nitaweza Kiongozi. Yule alikuwa anafanya kazi na majini, nataka nimtafute aniunganishe nayo.Bakhresa alisema yeye alikuwa anafanya kazi 24 hrs utaweza?π
Ndugu yangu, huo utajiri wa Majini waendelee nao wanaoutaka.Nakutakia kila la kheri
Kuna uwezekanano 100% kweli kutoboa kufikia levels za umilionea bila ushirikina?Ndugu yangu, huo utajiri wa Majini waendelee nao wanaoutaka.
Inaonekana ushirikina ni mbaya sana, maana wote waliotajirika kwa njia hizo hawaupi credit wazi wazi. π€£π
Mr pipa kwenye moja na mbili.KUBETI SINA HAAM NAKO NILISHINDA MILION 80 NA LAKI MOJA AVIOTOL END THE DAY NIKAAMBULIA MILION MOJA MKONO ILE YA WEKA UTAPATA ZAID MWISHO FYIUUU
Huyu ni Echolima1 na vitenge vyakeAngalia kwenye Duara View attachment 3539948
Na wewe tusua hiiOna mfano huyu kwa 20K amepata 90 million hapa ashakuwa milionea tayari View attachment 3539944