There is an evil plan behind the ones who want all countries of the world to lockdown the masses.
Kwani kuna shida gani?kwanini mnakomaa sana na hii kitu?Wapi imeonyesha efficiency kuondoa maambukizi?kuna nchi imejifunga kama Italy?angalia balaa linaloendelea.
Watu watakula nini mkiwaambia wakae ndani?logistics za kulisha watu mil 60 serikali yetu inazo?Fatality rate ikoje kwetu?Kama iko chini na wagonjwa ni wengi,then hamuoni kwetu huu ni ugonjwa wa kawaida tuu?!Influenza inapitaga huku na kutuacha salama,ila nenda Europe uone inaachaga majanga makubwa kiasi gani.Hivyo huu ugonjwa mpya tutazame trend yake kivyetu,tuutreat kwa uhalisia tutakaoona huku,sio ulaya.
Hebu nipeni statistics za kunishawishi kuifunga nchi nzima yenye watu maskini hivi kiuchumi na kijamii.Kwa emergency gani inayojiri hadi sasa?
Nipeni data,sio hisia.
Covid imeingia Africa 14 February,now its April with almost 70000 cases in the whole continent of Africa and 149 deaths,mtanzania ni mmoja tu.(na sasa tunakaribia miezi miwili tangu maambukizi yaingie Africa.)Haya ni maambukizi slow kuliko kwingine,na kwa wale wanaodai hatuwezi kukusanya data za covid 19,watueleweshe wao wamejuaje tatizo ni kubwa ikiwa uwezo wa kukusanya data haupo Africa?au wenzetu mnao uwezo huo?Kama upo kwanini hamuamini taarifa za serikali kwamba tuna only 20 cases?!
Mnataka nini nyinyi?Mnatafuta nini duniani?Mnautumia huu ugonjwa kwa madhumuni gani?Lockdown the country?!This country?!Nasema hivi,mkimsumbua sana Magufuli kutaka hayo malockdown yenu,Yahweh atawapa lockdown you will never forget,and confidently i mean it.
Watu twita huko,bungeni huko,WB,IMF,kote ni kumtaka Rais aweke lockdown!Mtu anakuambia Musoma huko watu 20 wamepimwa joto la mwili limefika nyuzijoto 60 centigrade!!Kwanini mnazua taharuki hivi,mnatafuta nini?!I stand with Magufuli in this one,no matter what!No lockdown.If you want it,i will ask Lord God of heavens mtakaa ndani bila amri ya mwanadamu.Hopeless generation!Kupenda hofu hofu tuu!Mnataka kuwapa shida binadamu for your evil plans.I think kuna watu wako tayari hata kutumia vifo vya magonjwa mengine kusema ni corona ilimradi agenda ikae sawa.You wont succeed!God will stand.Miaka miwili ijayo msioelewa mtaelewa.