Watu kusalia majumbani (total lockdown) hakuepukiki, ndiyo njia pekee ya uhakika itakayo tunusuru na kusambaa kwa Corona nchini

Watu kusalia majumbani (total lockdown) hakuepukiki, ndiyo njia pekee ya uhakika itakayo tunusuru na kusambaa kwa Corona nchini

Mkuu usisubiri miaka miwili, mwezi mmoja tu unao na sali sana.
Leo hii tunazika mke wa jirani yangu na hakuna anayesema kilichomtoa uhai.
Kutoa info yoyote kwa wanao kufa kwa ugonjwa huu ameachiwa mwanasiasa.

Mimi nawaamini madaktari zaidi , nao wako kimya kama maji ya mtungi.
Hiyo fanya utafiti wako mwenyewe , nenda Muhimbili na Monganzila na kaa kimya huku ukila raha ako.
Taratibu mpya za kijamii na kiuchumi zinazokuja kuwekwa sababu ya Corona ndio zitasaidia ujumbe wetu sie usiosikilizwa sasa kuja kusikilizwa sana baadae.My friend,not now,but tomorrow will be a REAL ECONOMIC and SOCIAL PANDEMIC.Just wait and and see.The fear instilled now will be used to change social orders tomorrow.God help us.This is just the start of the show!!Tough times ahead na waafrika tuwe makini mno.Akina Bill Gates na huu "wema wao" wa kutuwazia sie zaidi ya ndugu zao wanaokufa huko Ulaya,we must be very careful.
Hili suala la Corona serikali ifanye intelijensia sana.
Ndani ya tiss kuanzishwe(kama kipo kiboreshwe)kitengo cha mambo ya biological and chemical warfares,vijana wapelekwe cuba,Russia,China,Iran,Israel wakajifunze sana,sana,saan yaani!Moyo wangu ni mzito sana nisemapo hili ila Mungu yupo atatusaidia,we beautiful africans.
 
Unaposikia Lockdown lengo ni kudeal na gonjwa lililo sebuleni kwako huku umefunga geti lako wasiingie wagemi au wenyeji na ugonjwa kuambukiza wa ndani.

Pima watu wako wote kutambua aliyeathirika na mzima then waliathirika watengwe na kupatiwa matibabu na walio safi waendelee na majukumu ya kujenga nchi

Kwa hali ilivyo tutashituka nchi nzima inaumwa na mwisho duniani tutabaki kama taifa lenye maambukizi duniani na tutapigwa ban kutoingia nchi yoyote duniani ndio akili zitatukaa vizuri.

Nchi inashindwa kununua vifaa vya kupimia walau kila mkoa? Ila tuna bajeti ya kununua magari ya polisi kila kata kweli?
 
Hatua ngumu za kuchukua kwa wachache Watanzania juu ya hili janga.

Narudia tena ni kwa wachache watanzania wenye roho ngumu juu ya hili janga.

Njia tatu ngumu:-
THE HARDWAY juu y'all kujilinda na corona.
 
Unaposikia Lockdown lengo ni kudeal na gonjwa lililo sebuleni kwako huku umefunga geti lako wasiingie wagemi au wenyeji na ugonjwa kuambukiza wa ndani.

Pima watu wako wote kutambua aliyeathirika na mzima then waliathirika watengwe na kupatiwa matibabu na walio safi waendelee na majukumu ya kujenga nchi

Kwa hali ilivyo tutashituka nchi nzima inaumwa na mwisho duniani tutabaki kama taifa lenye maambukizi duniani na tutapigwa ban kutoingia nchi yoyote duniani ndio akili zitatukaa vizuri.

Nchi inashindwa kununua vifaa vya kupimia walau kila mkoa? Ila tuna bajeti ya kununua magari ya polisi kila kata kweli?

Kiongozi msomi akichagua kukumbatia ujinga ni kazi kweli kweli.

Pana haja ya kumtaka atoe namba za maambukizi na vifo vikifika hapo basi mikakati yake haifai tuchukue njia mbadala.
 
Back
Top Bottom