Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.

Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:

1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom