Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

[QUOTE="Sky Eclat, post: 22617359, member: 106478"binadamu.koture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.[/QUOTE]

Alikuja kurudi bongo ukubwani. Alikua daktari Wa binadamu. Nadhani Dr.You're alistaafia Arusha
 
[QUOTE="Sky Eclat, post: 22617359, member: 106478"binadamu.koture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.

Alikuja kurudi bongo ukubwani. Alikua daktari Wa binadamu. Nadhani Dr.You're alistaafia Arusha[/QUOTE]
Asante sana mkuu, like lilikuwa zali kutoka Msimbazi Centre kwenda Ikulu kama mtoto wa rais
 
Back
Top Bottom