kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Kwa hiyo wale sio wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wale sio wake
Hahaha sasa ulitaka nifanyaje mkuu?Duhh, watu mkiziona fursa mnazikamata hapopapo. Hahaaaaa
Eti wanamuita Lodilofa
Siyo kweli hitler alikua ajawahi kucheka ila alikuja kucheka pindi anapo mchinja mtoto wake,,..
Basi najisikia Hamu ya kupata habari juu ya hatma ya huyo mtz wetuRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Hahahhaaaa. Hii kaliYesu kristo Mfalme wa Nazareth
Sent From My Nokia Ya Tochi
Ndio anafanana Sana na lodilofaEti wanamuita Lodilofa
Newton was stupid..... Eti hakupata muda wa kufikiri.huyu angeweza kupata mtoto we sema alikuwa busy na practical zake hakupata muda wa kuwa na mwanamke
....niliwahi kuonyeshwa Arusha-walisema ni daktari mkubwa tu pale Mt.Meru hospital by thenRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
[QUOTE="Sky Eclat, post: 22617359, member: 106478"binadamu.koture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Usijali sana, Mzee. Mimi nakusifu kwa kuiona, kutambua na kuichangamkia fursa adhimu kabisa katika ulimwengu wetu tunaoishi!Hahaha sasa ulitaka nifanyaje mkuu?
Amelitafuta mwenyewe hilo jina. Na kwa jinsi walivyoshabihiana, muda sio mrefu hicho kikatuni kitapigwa ban na serikaliHahahaaaa [emoji14][emoji14][emoji14] kwamba kiongozi wa Malofa anakuwa ni bwana wa malofa [emoji14][emoji14][emoji14] jamani nyie [emoji23][emoji23] kubwa la malofa ! Nimecheka hadi basi ! Siku ile jamaa sijui aliamkaje aisee?! Hii kitu hadi itoke Kwenye Hansard (vichwani) mwa Watu sijui lini !
Alirudi Tanzania baadae nilimuona miaka mingi akihojiwa alikuwa daktari pale Mount meru hospital anaitwa hivyo hivyo Dr. Sekou Toure.Basi najisikia Hamu ya kupata habari juu ya hatma ya huyo mtz wetu
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alitangaza nia uchaguzi uliopita hakupita kwenye kura za maoni.Alirudi Tanzania baadae nilimuona miaka mingi akihojiwa alikuwa daktari pale Mount meru hospital anaitwa hivyo hivyo Dr. Sekou Toure.
Sijajua kwa sasa kama bado yupo pale ama la.