Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
Na yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
 
Back
Top Bottom