Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,019
Bashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
prove me wrong kwa ushahidi usiokuwa wa kubahatishaHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
pambana na hali yakoare you mentioning all these people kwa kuwakashifu? kupata mtoto ni neema, ni vitu ambavyo vipo beyond ones control, mtu asipopata mtoto usimsemee kwa kumkashifu kwasababu hajipendei. hata kama ni adui yako, bora mtukanie kingine lakini sio hicho. Mungu awasamehe. labda kama kuna wengine kama kina Salama jabir, ambao hawataki mtoto apite pale kwenye kitundu amepewa na Mungu, yeye anataka midori tu ipite, na akiambiwa azae anahisi kuchefuka bora afe kuliko kuzaa..hao ndio tuwaseme.
Anao, mmoja anaitwa William..Na yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
Fally anamtoto wa kikeFally Ipupa
Tyra Banks ana mtoto from surrogate mother if am not mistaken1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Tasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wema sepetu
duhhTasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha ujinga kunyanyapa watuTasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]