Ha ha haa yule bwana watu wanadai ana watoto lakini kumbe alisaidiwa na mzee basil pesambili..Na yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
Kuwa na mke si kuwa na watoto mkuu...Mbona anae mke, ingawa sijawahi kuwaona watoto wake hadharani, naona kama vile anaogopa kuwatambulisha kwa jamii
Labda wa kuasili km bashite Kamuzu hakua na watoto wa kuwazaaHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angel MerkelTujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba
Unaweza ukaendelea na wewe...
huyu bado anaishi
Wakuitwa nani huyu mama,maana naye ni mtata kwenye movie za kibabe
Michele yeoh au KhanWakuitwa nani huyu mama,maana naye ni mtata kwenye movie za kibabe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ana watoto mmoja anaitwa Luciano yaani producer Luci aliyetengeneza biti za za Black Rhyno, CP. Huyu kijana wake alisomea Marekani then akaja Bongo. Patrick Tsere kwa sasa yupo ubalozi wa Tanzania huko Malawi.
Anao wawili na mmoja wa kiume juzi ametimiza miaka 16Esta bulaya