Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Kuna huyu mmoja Namkubali Sana Park Geun Hye. Rais wa Kwanza wa kike Korea.

Hakuolewa wala hakuwa Na Mtoto na aliweza kuwa rais. Na during her presidency hakuwai kutiliwa mashaka Yeye kuwa na mtu wa pembeni.

Wazazi wake wote wawili Walifariki. Baba ake Rais Park aliuliwa kwa kupigwa risasi na aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na mama yake aliuliwa pia kwa kupigwa risasi na Sympathizer wa Korea kaskazini.

Toka hapo Alikuwa Mpweke Sana.

Inasemekana hata kula ikulu muda wa kula alikuwa anakula peke yake bila mtu yoyote huku akiangalia taarifa Habari.

Upweke ukampelekea aingie kwenye mtego wa wapigaji. Yuko Jela Sasa. Anatumikia kifungo. Prosecutors sio watu wazuri.
 
Kwa Mkapa mnakosea ana watoto wawili aliozaa na Anna nawafahamu vizuri tu. Anna pia kazaa na Basil Mramba mtoto wa kike
Mtoto wa mkapa ni copy kabisa na mkapa huwezi uliza..sema mtoto wake mmoja ni mlevi wa kupindukia anaishi pale seaview kila siku asubuhi anaamka kunywa kilimanjaro baridi

Mkapa ana mtoto sema watoto wake sio maarufu....nenda pale seaviw ukitoka protea hotel kuna grocery huenda ukMkuta maana na mnywaji mzuri wa pombe maana hata kama hana hela anakunywa tu bill sio shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom