Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
Kuna huyu mmoja Namkubali Sana Park Geun Hye. Rais wa Kwanza wa kike Korea.
Hakuolewa wala hakuwa Na Mtoto na aliweza kuwa rais. Na during her presidency hakuwai kutiliwa mashaka Yeye kuwa na mtu wa pembeni.
Wazazi wake wote wawili Walifariki. Baba ake Rais Park aliuliwa kwa kupigwa risasi na aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na mama yake aliuliwa pia kwa kupigwa risasi na Sympathizer wa Korea kaskazini.
Toka hapo Alikuwa Mpweke Sana.
Inasemekana hata kula ikulu muda wa kula alikuwa anakula peke yake bila mtu yoyote huku akiangalia taarifa Habari.
Upweke ukampelekea aingie kwenye mtego wa wapigaji. Yuko Jela Sasa. Anatumikia kifungo. Prosecutors sio watu wazuri.