Mtoto wa mkapa ni copy kabisa na mkapa huwezi uliza..sema mtoto wake mmoja ni mlevi wa kupindukia anaishi pale seaview kila siku asubuhi anaamka kunywa kilimanjaro baridiKwa Mkapa mnakosea ana watoto wawili aliozaa na Anna nawafahamu vizuri tu. Anna pia kazaa na Basil Mramba mtoto wa kike
Ana miaka mingapi sasa?Flavian Matata
Unamaanisha aliondoka na nyara za Serikali!Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Mkonga hausimamihuyu bado anaishi
watakuwa wa Cecilia Kadzamira sterward wakeHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi Oprah shida nini?? ntafuatilia historia yakeRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alirepiwa akiwa mdogo, alipata uja uzito katika umri mdogo na alijifungua mtoto wa kiume ambae hakuishi alifariki.hivi Oprah shida nini?? ntafuatilia historia yake
Jay moe na mchizi mox hawajaoa sijui kuhusu watoto
ina maana hela zote zile zimeshindwa kutatua shida yakeAlirepiwa akiwa mdogo, alipata uja uzito katika umri mdogo na alijifungua mtoto wa kiume ambae hakuishi alifariki.
Kupata mimba katika umri mdogo na complications za uzazi velipelekea matatizo ya uzazi.
Pesa siyo jibu la kila kitu.ina maana hela zote zile zimeshindwa kutatua shida yake
Tumuulize akiwa bungenihalima mdee je?
anao wanne sijui watanoFID Q