mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Mwaka huu mtaletewa katoto basi....na hyo hyo wemaAmeshakaanga mayai huyo
Ova
Mwaka huu mtaletewa katoto basi....na hyo hyo wemaAmeshakaanga mayai huyo
Hakuna mwanamke atakubali kuzaa nae yuleHarmonize awekwe kundi hili mpaka pale atakapokuja na DNA.
Dah huruma sana jamani 🥲Tupac
Jacob Steven
Wema
Jide
Nk
Kwanini ati?Hakuna mwanamke atakubali kuzaa nae yule
Kwanini ati?
Nani anataka Ile mbegu iote Kwa mwanae?
Noti haijawahi kataliwa Mzee, ila mtoto lazima atoke kwingine halafu kwake yeye unamuangushia zigo TU unamuambia ni wakoDaah ila wanawake, ila malezi kutoka kwake mnataka?
Mbona nasikia alikua hanithi?Hastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
Finally Wema Sepetu tumuondoe kwenye hii listJay Dee, Wema
Well saidJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Hatimae Baada ya miaka 10 maneno Yako yametimiaJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Nasikia kapata uliona mbaliJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Na kweli tunashangaa hata sasa!Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Umetoka jela?Wema Sepenga