Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
I’m not against kuwa na watoto lakini naona wasio na watoto maisha yanakuwa rahisi bila stress
Waliomsema wanatamani wafute thread na comments zao.wema sepetu
Daud Albert Bashite
Koromije moja
Ana watatu ,keagan na alipata Duble Duble(Twins).Bashite
Siku Nikipewa sample nikaenda kupima DNA mwenyewe ndio nitakubali kukubaliana na hili. Nipewe sample tu...Ana watatu ,keagan na alipata Duble Duble(Twins).
Amefanya IVF mkuu.Siku Nikipewa sample nikaenda kupima DNA mwenyewe ndio nitakubali kukubaliana na hili. Nipewe sample tu...
Na sasa wema ni mama 🤩😍Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Aisee hebu nipe gwara kwanza 🤛🏾I’m not against kuwa na watoto lakini naona wasio na watoto maisha yanakuwa rahisi bila stress
Wamevurugwa!Hivi mnaomtaja wema kwenye list mnaishi Tanzania? Au mmetekwa?
Hivi hii IVF Huwa inatokea endapo mwanaume ana shida au mwanamke?Amefanya IVF mkuu.
yeyoteHivi hii IVF Huwa inatokea endapo mwanaume ana shida au mwanamke?
Kwa hiyo mbegu za mwanaume zinawekwa maabara Kwa muda halafu ndo zinawekwa Kwa mwanamke?yeyote
Inategemea! IVF si kumwekea mwanamke sperms bali fertilization inafanyika katika test tube na baada ya hapo mbegu za mwanaume zikisha kutanishwa na yai la mwanamke hicho kiumbe kinaingizwa moja kwa moja katika mfuko wa uzazi wa mwanamke aliyeandaliwa. Iwe ni yeye au kwa msaada wa mwanamke mwingine anayeitwa surrogate motherKwa hiyo mbegu za mwanaume zinawekwa maabara Kwa muda halafu ndo zinawekwa Kwa mwanamke?
🤜 😁Aisee hebu nipe gwara kwanza 🤛🏾
Uongowema sepetu
Three conditions inaweza kufanyika.Hivi hii IVF Huwa inatokea endapo mwanaume ana shida au mwanamke?
Case ya bashite imejulikana vip kwamba yeye ndo alikuwa na shida?Three conditions inaweza kufanyika.
1.Mwanamme akiwa na shida ila mwanamke hana
2.Mwanamke akiwa na shida na mwanamme hana
3,Wote wana Shida.
Kwa case ya Bashite ,yeye(Mwanamme) ndiyo ana shida.